Weka kapicha na sisi tuone kama kimeungua ungua au kina ile rangi ya kutamanishaWakuu katika jamvi hili unajua kunogewa wewe,Nmenogewa sana yaani nmenogewa sana,Kunogewa kuna utamu wake bwana yaaan full kunogewa Mtoto anajua mambo si kitoto daaah Utamu wake balaaa...............Nkikosa nachachawa.......Kitumbua chake si mchezo.......Anaweka Hiriki na mdalasini kwa mbali Yaan daily lazima ninunue nile anajua kupika sifa namna mpaka nmeweka oda nisikose vitumbua vyake..........Nimenogewa hakika
Tunahangaika kukutafuta kumbe upoooAiseeeee. ..
Nasikia zinawekwa hadi kachumbaliMkuu hiyo inayowekwa mdalasini na hiriki ni papuchi ndio unaungiwa hivyo au ni nn
Aiseee ili weje sasa wakipata magonjwa uko wasumbue watuNasikia zinawekwa hadi kachumbali
Hahahah binamu hafikishagi salam zangu nini??hajawaambia nipo nae honeymoonTunahangaika kukutafuta kumbe upooo
Hahahah si ndo mambo yenu watu wa tanga jamanMkuu hiyo inayowekwa mdalasini na hiriki ni papuchi ndio unaungiwa hivyo au ni nn
Akikijib nambie nami naomba namba yakeeAnakuuzia shi ngapi ??
Inasemekana ni kutamu kama utamu wa seneneAiseee ili weje sasa wakipata magonjwa uko wasumbue watu