k-bee
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 966
- 1,084
Wakuu katika jamvi hili unajua kunogewa wewe,Nmenogewa sana yaani nmenogewa sana,Kunogewa kuna utamu wake bwana yaaan full kunogewa Mtoto anajua mambo si kitoto daaah Utamu wake balaaa...............Nkikosa nachachawa.......Kitumbua chake si mchezo.......Anaweka Hiriki na mdalasini kwa mbali Yaan daily lazima ninunue nile anajua kupika sifa namna mpaka nmeweka oda nisikose vitumbua vyake..........Nimenogewa hakika