NIMENOGEWA

NIMENOGEWA

Wakuu katika jamvi hili unajua kunogewa wewe,Nmenogewa sana yaani nmenogewa sana,Kunogewa kuna utamu wake bwana yaaan full kunogewa Mtoto anajua mambo si kitoto daaah Utamu wake balaaa...............Nkikosa nachachawa.......Kitumbua chake si mchezo.......Anaweka Hiriki na mdalasini kwa mbali Yaan daily lazima ninunue nile anajua kupika sifa namna mpaka nmeweka oda nisikose vitumbua vyake..........Nimenogewa hakika[/QUOTE
Anapatikana wapi?
 
Hahahah binamu hafikishagi salam zangu nini??hajawaambia nipo nae honeymoon
Jana alifikisha salaam kumbe ni kweli honeymoon mbona kwingine unaonekana
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Back
Top Bottom