Nimenuniwa,kisa sijapiga simu.

Nimenuniwa,kisa sijapiga simu.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wakuu,ivi ktk mapenz nani anaetakiwa kuanza kumpigia simu mwenzie?maana me jana tu cjapga cmu,leo nimenuniwa balaa...
 
Mtoto wa kike inabidi apigiwe kabla sijatemwa na shemu wako ilikuwa kila siku napiga. We mpigie tu
 
Wakuu,ivi ktk mapenz nani anaetakiwa kuanza kumpigia simu mwenzie?maana me jana tu cjapga cmu,leo nimenuniwa balaa...
Mkuu hapa hakuna fomula kuwa nani aanze kumpigia wenzie. Sana sana itategemea na mikataba yenu na mazoea mliyowekeana.
 
Kila mtu anawajibu wa kupiga,lakini wewe kama mwanaume ndo unatakiwa kupiga zaidi.we piga.Mwanaume hanuni hata siku moja.
 
Wakuu,ivi ktk mapenz nani anaetakiwa kuanza kumpigia simu mwenzie?maana me jana tu cjapga cmu,leo nimenuniwa balaa...

huyo hajanuna anataka umbembeleze kijanja tu, mbembeleze afurahi ila na yy pia ana wajbu wa kukupgia, sio kla cku upge ww tu
 
si lazima sana kupiga simu , kwani mawasiliano yanatakiwa yawe ya pande zote na si upande mmoja uwe na jukumu , wote jukumu lenu ni kuhakikisha yanakuwepo mawasiliano .. kama amenuna kwa kutompigia simu elewa hilo tayari ni tatizo analotaka liwe tatizo. kuna jambo jingine zaidi ya mawasiliano
 
Hiyo adhabu mie ishanipata sana................Siku hizi naweka alam ya simu inikumbushe kumtwangia mama Ngina.
Mbinu hiyo imenisaidia kuondoa ombwe la kununiwa................LOL
 
  • Thanks
Reactions: BPM
Mbembeleze afurahi, baada ya siku 2 za kufurahi rudi ukiwa umenuna! Akikuuliza mwambie hajakutext!
 
Mpigie mdekeze,umeshamzowesha mwanzo sasa ushampata unaanza uvivu ebu mpigie upesi umbembeleze,halafu na yeye atakupigia....
 
Hiyo adhabu mie ishanipata sana................Siku hizi naweka alam ya simu inikumbushe kumtwangia mama Ngina.
Mbinu hiyo imenisaidia kuondoa ombwe la kununiwa................LOL

mtambuzi kumbe ulikuwa unasukumwa na ulazima kuliko hisia .. lakini hongera kwa kutimiza wajibu
 
hivi huwa mnapigiana tu hata kama hamna jambo la msingi?...aloo wangu inabidi azoee tu maana ninapiga pale ambapo lipo swala nataka mweleza...mambo ya i miss you afu hata hujammis mm sifanyi...au kila saa mnaongea afu mnabaki mnaulizana "mambo mengine"...Nop!
 
Hahaha! Nimeipenda hii! Ana adabu sana dada wa watu, kakuachia space manake uko 'busy'. Ngoja niifanyie mazoezi ila mie nita-block namba yake walau watongozaji waniweke busy nisiboeke.
we hujapga? Me nilichelewa tu binti alizma cm cku tatu ili nifanye mambo yalonifanya nichelewe kumpigia
 
Wakuu,ivi ktk mapenz nani anaetakiwa kuanza kumpigia simu mwenzie?maana me jana tu cjapga cmu,leo nimenuniwa balaa...

Jambo jema ni kusomana ili kujuana interest zenu. Kwa kawaida mwanaume huanza halafu gradually mwanamke naye huingia kwenye hilo zoezi. Lakini suala la kufahamiana tabia ni la msingi zaidi kupunguza kununiwa maana inaweza kuwa tatizo siyo simu ambayo haukuipiga ila tabia fulani uliyoionyesha kwake ambayo haikumfurahisha.
 
Nitakusemelezea! Kumbe ni alarm ndo inampenda maza eeh! Anavyojidai sasa!
Hiyo adhabu mie ishanipata sana................Siku hizi naweka alam ya simu inikumbushe kumtwangia mama Ngina.
Mbinu hiyo imenisaidia kuondoa ombwe la kununiwa................LOL
 
Back
Top Bottom