Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jicho kwa jicho yakhe...na wewe nuna!.Wakuu,ivi ktk mapenz nani anaetakiwa kuanza kumpigia simu mwenzie?maana me jana tu cjapga cmu,leo nimenuniwa balaa...
Mkuu hapa hakuna fomula kuwa nani aanze kumpigia wenzie. Sana sana itategemea na mikataba yenu na mazoea mliyowekeana.Wakuu,ivi ktk mapenz nani anaetakiwa kuanza kumpigia simu mwenzie?maana me jana tu cjapga cmu,leo nimenuniwa balaa...
Wakuu,ivi ktk mapenz nani anaetakiwa kuanza kumpigia simu mwenzie?maana me jana tu cjapga cmu,leo nimenuniwa balaa...

Hiyo adhabu mie ishanipata sana................Siku hizi naweka alam ya simu inikumbushe kumtwangia mama Ngina.
Mbinu hiyo imenisaidia kuondoa ombwe la kununiwa................LOL
we hujapga? Me nilichelewa tu binti alizma cm cku tatu ili nifanye mambo yalonifanya nichelewe kumpigia