Hahaha,ni naniiungejua huyo Napoleon wa ukweli alivyokua na akili ,usingalitumia hilo jina
Unrealistic,..how do u weigh a mans intelligency kwa kutumia jina...? If its like that bas Nawee ungelifaham deo corleone alivyokua wala usingesoma na ku comment upuuzi nilioandikaungejua huyo Napoleon wa ukweli alivyokua na akili ,usingalitumia hilo jina
Hahahahah! Hii kali aseeUnrealistic,..how do u weigh a mans intelligency kwa kutumia jina...? If its like that bas Nawee ungelifaham deo corleone alivyokua wala usingesoma na ku comment upuuzi nilioandika
Nakaribia ku confirm kwamba ananitumiaNasikiaga tu wadau wakisifia penzi la single mothers kuwa wanajua ku care, maisha, budgeting and all the shit.. Hope sio wote maana binaadamu hatujakamilika perfection ni kwa muumba tu.. Stretch your head kaka angalia malengo yako na huyo wakuitwa single mother.. Lastly anaweza akawa anakupenda na anakutumia pia!
Ujue kuna watu wanajifanyaga wajuaj sana kumbe ni wajinga tu,..this platform ni kwa ajili ya ku have fun and all that,..ingekua platform ya maana sana bas watu wangetumia majina yao asili,y wanatumia fake ID halaf mtu anajifanya mjuaj,akat ni mjinga tu in real senseHahahahah! Hii kali asee
BravoNakaribia ku confirm kwamba ananitumia
Well said mkuu, pia sio wote Tupo positive oriented.. Inabidi tujifunze tu kucheza na emotion za kila mmoja ili twende sawa!Ujue kuna watu wanajifanyaga wajuaj sana kumbe ni wajinga tu,..this platform ni kwa ajili ya ku have fun and all that,..ingekua platform ya maana sana bas watu wangetumia majina yao asili,y wanatumia fake ID halaf mtu anajifanya mjuaj,akat ni mjinga tu in real sense