"Nimenuniwa" na singo maza siku ya 5 leo,last wik bday ya mwanae nkasmamia sho,juz kat bday yake,nkaipotezea,

Mbona huu mwandiko unaonyesha upo secondary..
Kua secondary maana yake nin,..kuna secondary nying mkuu,..it might be a secondary trophy,secondary card,.secondary chapter,unaamnisha nin secondary,heb tumia akil kdogo kujielezea
 
ungejua huyo Napoleon wa ukweli alivyokua na akili ,usingalitumia hilo jina
Unrealistic,..how do u weigh a mans intelligency kwa kutumia jina...? If its like that bas Nawee ungelifaham deo corleone alivyokua wala usingesoma na ku comment upuuzi nilioandika
 
Nasikiaga tu wadau wakisifia penzi la single mothers kuwa wanajua ku care, maisha, budgeting and all the shit.. Hope sio wote maana binaadamu hatujakamilika perfection ni kwa muumba tu.. Stretch your head kaka angalia malengo yako na huyo wakuitwa single mother.. Lastly anaweza akawa anakupenda na anakutumia pia!
 
Hahahahah! Hii kali asee
 
Nakaribia ku confirm kwamba ananitumia
 
Hahahahah! Hii kali asee
Ujue kuna watu wanajifanyaga wajuaj sana kumbe ni wajinga tu,..this platform ni kwa ajili ya ku have fun and all that,..ingekua platform ya maana sana bas watu wangetumia majina yao asili,y wanatumia fake ID halaf mtu anajifanya mjuaj,akat ni mjinga tu in real sense
 
Well said mkuu, pia sio wote Tupo positive oriented.. Inabidi tujifunze tu kucheza na emotion za kila mmoja ili twende sawa!
 
Back
Top Bottom