"Nimenuniwa" na singo maza siku ya 5 leo,last wik bday ya mwanae nkasmamia sho,juz kat bday yake,nkaipotezea,

"Nimenuniwa" na singo maza siku ya 5 leo,last wik bday ya mwanae nkasmamia sho,juz kat bday yake,nkaipotezea,

Mzee nimekupigia stori maskani umekuja kuanzishia uzi!!!?
 
"Napoleone bonaparte" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu Napoleone.Next Time Ukiandika Kitu hapa.Usiandike Kwa ufipisho na Kukata Kata maneno.kama Vile Xmass,anafosi,kabsaaa
 
Hivi mtu mzima na akili yako timamu utaandika vipi vitu vichafu chafu kwa mfano hiyo heading tu
Unakua kama hukuwahi kusoma
Vitu vichafu kwa context ipi?heb dadavua uchafu ni nin
 
Back
Top Bottom