Nimenunua bodaboda aina ya Sinoray 250 ADV. Nawezaje kuifanya kuwa stable?

Dit000

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
723
Reaction score
1,091
Nimenunua sinoray ADV 250CC naona shokapu za mbele na ile ya nyuma ngumu sana, kwenye mabonde badala ya kunesa inakuwa inadunda tu.

kuna namna ya kurekebisha shokapu ziwe zinanesa? hasa rough road zenye mabonde unakuwa hupati ule mneso.

Kngine kwenye mchanga mwingi inayumba sana, kuna namna ya kufanya kuifanya iwe stable?

Ahsante nawasilisha.
 
Unaonekana mtoa mada mwembamba alafu unakilo ndogo
 
Mchina anachakachua everything...jaribu kuweka new hydraulic front shock up..na ile ya back jaribu ku adjust...au aza kupakia mizigoo zilegee zenyewe automatically
thanks mkuu ubarikiwe
 
Mchina anachakachua everything...jaribu kuweka new hydraulic front shock up..na ile ya back jaribu ku adjust...au aza kupakia mizigoo zilegee zenyewe automatically
thanks mkuu, ngoja nifanye hivyo ya nyuma naweza acha hivyo hivyo kwa ajili ya kubeba mzigo mkubwa, ila mbele ndio nifanye hivyo iwe laini, maana nikiendesha umbali mrefu say 150km kwa rough road yenye mashimo makubwa nachoka mabega.
 
Hongera mkuu...

Usibadili chochote itumie hvyo hvyo utaizoea tu....nahisi ni issues ya mazoea tu

Kumbuka hyo ni mchina huo muundo wake usije ifananisha na wakina Africatwin.....usiipe kazi ngumu, angalia hzo Lough road unazopita, pia speed hzo hazina tofauti sna na sinoray 150cc hasa kwenye engine.

Kwa kifupi hyo pikpik ni ya mizunguko ya mjini....

Mchina amepatia sana kwenye muundo wa hyo pikipki ila kwenye engine ametupiga.....afu nasikia haina kiki just imagine upo porini afu starter imegoma

Mimi nina honlg 200 gy.....mabega na kifua kuuma ni kawaida kama mtu wa ruti ndefu kwa hzi pikipiki.

Pikipiki za chini ya 6ml kupata zilizotulia kwa apa bongo kipengele
 
Cheap is expensive. Rahisi ni gharama.
 
wacha nifanye hivyo mkuu
 
Bila shaka umeshakaa nayo miezi kadhaa sasa. Naomba experience, ipoje? nafikiria kununua pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…