Nimenunua flash 32gb lakini ukiweka movies au audio au photo haziplay na wala hazioneshi

Bzero

Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
86
Reaction score
180
Flash nmenunua ila kwenye computer inasoma vizuri na ukiweka movies zinaonyesha zimeingia ila ukiitoa kwenye computer halafu ukairudisha tena hazionekani movies yaani inasoma haina kitu kama kuna msaada naweza kuupata kwa anayefahamu jinsi ya kuiseti.
 
Imeharibika au uwezekano mkubwa ni feki size, jaribu kuiformat right click kwenye drive kisha format.
 
Hiyo ni fake mkuu....gb size iliyoandikwa ni kubwa wakati yenyewe unaweza kuta ina megabytes 100.

Siku nyingine wakati unanua hapo hapo jaribu Kwa kuweka mafaili au data zenye ukubwa Kisha fungua au chezesha hapo hapo
 
Fake hiyo na sometimes inaweza ku play lakini ilizidisha vitu, vilivyozidi vitagoma ku play

Ukiiweka kwenye device inasoma 32GB lakini kihalisia ni MB500 fixed, unalaimika kuweka vitu vyenye ujazo usiozidi MB500

Ukizidisha tu basi zitaingia ila hazi play
 
Flash nmenunua ila kwenye computer inasoma vizuri na ukiweka movies zinaonyesha zimeingia ila ukiitoa kwenye computer halafu ukairudisha tena hazionekani movies yaani inasoma haina kitu kama kuna msaada naweza kuupata kwa anayefahamu jinsi ya kuiseti.
Umepigwa ndoige
 
Umepigwa peupe kabisa
 
Back
Top Bottom