Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasoma vizuri na movies zinaingia poa. Ila ukitoa na kuirudisha kwenye pc movies ulizoweka hazionekani (maana yake flash yako haina shida ya space). Fanya yafuatayo inaweza tatua shida yako,Flash nmenunua ila kwenye computer inasoma vizuri na ukiweka movies zinaonyesha zimeingia ila ukiitoa kwenye computer halafu ukairudisha tena hazionekani movies yaani inasoma haina kitu kama kuna msaada naweza kuupata kwa anayefahamu jinsi ya kuiseti.
Hiyo ndiyo kazi ya mchina. Hapo umeshamungizia hela China.Nmeiformat kama mara tatu lakin wapi
👍Sawa ngoja ntest mitamboInasoma vizuri na movies zinaingia poa. Ila ukitoa na kuirudisha kwenye pc movies ulizoweka hazionekani (maana yake flash yako haina shida ya space). Fanya yafuatayo inaweza tatua shida yako,
Chomeka hiyo flash yako kwenye pc, nenda kwenye control panel. Kwenye search bar, type file explorer. Click kwenye file explorer options, itafunguka hapo kutakua na tab 3 ambazo ni general, view na search. Wewe utabonyeza kwenye VIEW.
Baada ya hapo utaona folder limeandikwa hidden files and folders ambayo ndani yake kuna option 2 wewe uta click hiyo optio ya show hidden files, folders and drives.
Ukishuka chini zaidi hapo utaona box la hide protected operating system files(uncheck it). Baada ya hapo utabonyeza apply and then okay. Rudi kwenye my pc fungua flash drive yako utaona vitu vyako
Njia ya 2 ni kama flash ipo infected njia ya kwanza haiwezi kuwa msaada. Utafanya yafuatayo
-Uta press window button pamoja na s kwa wakati mmoja.
-Ikifunguja type cmd then right click afu press run as administrator
-Then type haya yafuatayo attrib -h -r -s/s /d X:\. hiyo letter X utaireplace na letter inayoonesha kwenye flash drive yako. Kama ni herufi kubwa utaandika kubwa na kama ni ndogo uta andika ndogo
Then press enter. Itatatua shida yako.
Njia hizi zikifeli peleka kwa mtaalam ajaribu na yeye au kubali matokeo