Nimenunua gari nataka kuikodisha kwa ajili ya bolt. Nianzie wapi?

Nimenunua gari nataka kuikodisha kwa ajili ya bolt. Nianzie wapi?

Mr the dragon

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2017
Posts
1,996
Reaction score
3,924
JF

Mwezi uliopita nimevuta gari Subaru Imprezza ya 2011. Imeagizwa kutoka Japan Less than 85,000 km. Nimejikuta sina kazi nayo maana napofanyia kazi na home ni karibu nauli buku. Na kwenye mitoko yangu naona nimezoea boda na bajaj kuliko gari, nikiwa na gari naliona kama mzigo.

Niko Dsm nataka kujua ukitaka kukodisha mikataba ikoje na hatua za kufuata!
 
Kwahio ulikurupuka tu ukanunua gari? Too much information.
 
Nenda bolt website yao uone qualifications zao na jinsi ya kujiunga ila itakuwa nzuri na huo mlioo definetly utapata wateja watalii sana wataona ni kivutio
Unajua Bolt inavyofanya kazi?

Kwamba watalii wakiwa Masaki, yeye yuko Kigamboni Geza basi wamsubiri kisa ana Subaru wakati IST zipo hapo hapo Masaki. Na algorithm ya Bolt haibagui magari, lililopo karibu ndio linakuja.
 
Back
Top Bottom