Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,996
- 3,924
Hakika wateja watamkimbiaaaaaa.. watajua ni usalama 😂😂Umewahi kutumia bolt? Uliwahi request ikaja subaru?
Kwahio ulikurupuka tu ukanunua gari? Too much information.JF
Mwezi uliopita nimevuta gari Subaru Imprezza ya 2011. Imeagizwa kutoka Japan Less than 85,000 km. Nimejikuta sina kazi nayo maana napofanyia kazi na home ni karibu nauli buku. Na kwenye mitoko yangu naona nimezoea boda na bajaj kuliko gari, nikiwa na gari naliona kama mzigo.
Niko Dsm nataka kujua ukitaka kukodisha mikataba ikoje na hatua za kufuata!
YesKwahio ulikurupuka tu ukanunua gari? Too much information.
Kumpa derevaKumpa dereve au unaendesha mwenyewe?
SiuziHuliuzi
Kwa nini mpya?Bolt subaru! Hii mpya..
Sijawahi tu kuona bolt SubaruKwa nini mpya?
Kigezo gani kinafanya Subaru isifae kuwa bolt?
Comment yako imenifanya nicheke mkuu 😀Umewahi kutumia bolt? Uliwahi request ikaja subaru?
Unajua Bolt inavyofanya kazi?Nenda bolt website yao uone qualifications zao na jinsi ya kujiunga ila itakuwa nzuri na huo mlioo definetly utapata wateja watalii sana wataona ni kivutio