SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Sio lazima bwana kama hutaki unaunrequestUnajua Bolt inavyofanya kazi?
Kwamba watalii wakiwa Masaki, yeye yuko Kigamboni Geza basi wamsubiri kisa ana Subaru wakati IST zipo hapo hapo Masaki. Na algorithm ya Bolt haibagui magari, lililopo karibu ndio linakuja.
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufanya maamuzi. Subaru iwe bolt? Na kama huhitaji gari umelinunua la nini?JF
Mwezi uliopita nimevuta gari Subaru Imprezza ya 2011. Imeagizwa kutoka Japan Less than 85,000 km. Nimejikuta sina kazi nayo maana napofanyia kazi na home ni karibu nauli buku. Na kwenye mitoko yangu naona nimezoea boda na bajaj kuliko gari, nikiwa na gari naliona kama mzigo.
Niko Dsm nataka kujua ukitaka kukodisha mikataba ikoje na hatua za kufuata!
Kwa nini haifai kuwa bolt?Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufanya maamuzi. Subaru iwe bolt? Na kama huhitaji gari umelinunua la nini?
Gharama za ku-run hiyo gari ziko juu sana. Kwa biashara ya Bolt utapata hasara. Ndio maana Bolt nyingi ni IST na Vitz.Kwa nini haifai kuwa bolt?
Watu wengi kwenye comment wanasema hivyo, lakini hawanipi sababu.
Oil gani hiyo yq 85K? SAE 40?Fanya research mkuu usije kurudi na matusi huku baada ya miezi kadhaa
Water pump IST 40,000
Subaru 120,000
oil IST 85,0000
Subaru 160,000
Mafuta IST LITRE 1 14 km
Subaru 10 km
Ungetoa na namba za mawasiliano sasaJF
Mwezi uliopita nimevuta gari Subaru Imprezza ya 2011. Imeagizwa kutoka Japan Less than 85,000 km. Nimejikuta sina kazi nayo maana napofanyia kazi na home ni karibu nauli buku. Na kwenye mitoko yangu naona nimezoea boda na bajaj kuliko gari, nikiwa na gari naliona kama mzigo.
Niko Dsm nataka kujua ukitaka kukodisha mikataba ikoje na hatua za kufuata!
Kwa nini mpya?
Kigezo gani kinafanya Subaru isifae kuwa bolt?
Of course upo sahihiOil gani hiyo yq 85K? SAE 40?
Maana Toyota 5w30 au Total 5w30 vituoni kwao ni zaidi ya 100K