Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpm bwana pm anapata au kablock pm sidhaniamefunga profile yake
Hakikisha nyimbo zako zote ni MP4 then weka setting vzrasante mkuu but sina namna tena nimeshakula lose hapa. kwanza lg gan imeandikwa 'made by lg electronics, made in china'?
vitu vingi vimekuwa vinaungwa china au china unakuta ina leseni pia.. Unaweza ibwenga ukachukua HIFI mle ndio burdan ya Audio utaipataasante mkuu but sina namna tena nimeshakula lose hapa. kwanza lg gan imeandikwa 'made by lg electronics, made in china'?
Extrovert ndo mkali wa hizi Mambo ngoja anakuja kukupa MwongozoHapo kwenye seting hebu nielekeze, seting zipi nzuri
Duh sasa kama ni hvyo ht mbona bei kubwa sana halafu hamna cha maana zaidi?Kama ulitaka mziki, nenda na music system sio home theatre, home theatre is for surround sound kama dt dobbie nk ambazo utaskia souti ya movies vzr kwanye hizo channel 5 za sauti, hakuna mziki una channel 5, mziki ni sterio ya channel 2 tu
Assume ni feki,una lakufanya? kubali matokeo uzi huu utakuumiza kila koment tutayochangia😀Nimeagiza mwanza sijafata mwenyewe. Je, hii sio fake kweli wakuu?
.Mp4 sio decod ya nyimbo, hiyo ni video, nyimbo huwa kwenye .mp3 nkHapo kwenye seting hebu nielekeze, seting zipi nzuri
Uwingi wa spika sio ukubwa wa sauti na wala ukubwa wa watts wa redio sio ukubwa wa sauti.
Sauti ambayo inarekodiwa na wanamuziki ni stereo kwa maana ina njia mbili mithili ya masikio yetu yalivyo.Radio ambazo ni home theater sio kwa ajili ya kusikilizia muziki ila ni kwa ajili ya kutazamia muvi mana kwenye muvi kila spika moja hupewa sauti maalumu kwa mfano kuna spika zinatoa sauti ya mazungumzo tu, kuna ambazo zinatoa sauti ya effect za kwenye muvi, kuna ambazo zinatoa sauti ya saund track na mambo mengine mengi na ndio maana ukizitumia kwenye mziki sauti haziwi kubwa sana kwa sababu spika ambazo zinafanya kazi huwa ni tatu tu( 2.1)spika moja ya kulia, moja ya kushoto na subwoofer.
Kitu kingine ni kwamba nguvu ya spika haipimwi hapo nimekuelewa mkuu shida yangu ni mziki mzito uliotulia ambao hauumizi masikio wala kichwa, sasa hzi ht hapana aisee nimejichanganya