Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

Unaponunua hizi Home T
Ukitaka kununua hizi Home Theatre au Sound Bar zingatia WATTS..kwa LG nunua angalau kuanzia WATTS 1000W..hiyo yako itakua ni 330W so hakuna kitu...pia Sea Piano ni Subwoofer moja imetulia sana tatizo tu brand yao ila ni mziki wake uko poa sana
 
Kwa upande wa sound hadi sasa Sony ndio naona anafanya vizuri sana....
Hakuna kitu hapo nilikuwaga nayo kwa mwaka mmoja tu nikauza kwa hasara.

LHD 756 LG Home theater ni baba lao kwa ladha, nikifunguliaga volume 16 tu huwa naburudika sana, kuna siku niliijaribu volume 28 hadi Watu kadhaa walikuja kuuliza kuna sherehe waje kubanjuka?



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ac

Acha kumpoteza mwenzio.
Nina uhakika na ninachoandika..niliwahi kununua LG 330W sikuielewa kabisa..niliuza nikanunua LG 1000W naenjoy mziki wa maana..na pia zinapendeza sana ukiziweka sebuleni..sipendagi kuandika kitu nisichokijua kama wewe unabisha upumbavu huku unatumia sabufa ya ALITOP😀
 
Fanya setting vizuri za speaker,mie natumia lg sijawahi kujuta tokea 2016 na haijawah sumbua chochote.

Cheza na speaker vizuri
nielekeze mkuu nimefanya yote ila sijaona mabadiliko yyt
 
Unaitwaje unapatokanaje bei yake ipoje hapa na huko nje?
 
Kuna kitu watu mnachanganya! Home Theater haijaundwa kwaajili ya heavy sound! Hiyo ni kwa kiswahili chepesi ni (Kitoa sauti) tu. Home theater haiwezi kushindana na Subwoofer kwasababu muundo wa coil zake speaker zake ni tofauti kabisa. Ingawa zote zinaathiriwa na Watts zake. Kama unataka mziki wa maana hakikisha Unanunua Hi-Fi System au Subwoofer yenye kuanzia watts 600. Home theater hata ikiwa na Watts 1000 hawezi kushindana na Subwoofer ya watts 400 au Hi-Fi ya watts 500.

Zingatia. Hi-Fi -> Woofer -> Home Theater
 
mkuu mpaka natoa hiyo hela nilitaka kitu kizuri kisicho na bla bla
Kaka hujapigwa angalia WATTS zake bila shaka ni 330W ndo uwezo wake..so kachukue kubwa yake yenye 1000W halafu rudi hapa na thread ya ushuhuda hapa
 
 
LG sitaki kuwasikia kabisa. Nilinunua LG radio mzigo. Lakini baada ya miezi 9 kiliharibika kifaa kinahusika na umeme. Kile kifaa kwenda LG gharama ya hicho kifaa ni sawa na radio mpya. Mpaka leo nimebaki na kopo. Nimebakiwa na speaker tu[emoji116]
Hukuzingatia stabilizer, mi sikutaka kukosea kabisa maana connection ya umeme, mzik, friji na TV vinatokana na soketi 1, niligharamika kununua stabilizer mapema sana [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Weka hata picha tubarikiwe
 
LAMINATED COMMENT.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…