DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Siku zote nimekua nikinunua compact ya cha 56000 elf kwaajili ya mpira sasa sitakuepo mwezi huu hivyo wife ameshauri tununue cha 23000 maana yeye hafatilii mpira zaidi ya maigizo tu
Nikaona isiwe kesi Nikalipa sasa cha kuchekesha ni kwamba zimekuja channels hizo apo kwenye picha yaani eatv,itv,clouds,na upendo tv
😂😂😂😂😂 So funny ebu wazoefu mnipe uzoefu hapa. Maana kwenye kipeperushi chao wameweka channels kibao