Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Infact hata kama hujalipia DStv hizo channel plus TBSHHII unazipata. Bonyeza *150*53# kwenye simu yako ya kiganjani halafu fuata maelekezo.
DStv is user friendly na wakiiondoa tz nanunua ule mdish mkubwa nione vitu vya maana.
Startimes Kama hujalipia hata hizi local fta channels hupati.
Huwa mnatumia DsTV ya wapi hiyo mnaopata kuona free local channels?