Nimenunua kifurushi cha Dstv cha shilingi 23,000 nimepewa Channel nne tu.


Huwa mnatumia DsTV ya wapi hiyo mnaopata kuona free local channels?
 
Hili tatizo la kurudia movie [emoji688] hata Azam, sijui wanakwama wapi yaani katika kila movie 10 za Azam (MBC 2, MBC Max, MBC Action, MBC 4 and others) basi hapo movies 7 tayari nimeshaziona. Nashindwa kujua wanashindwaje kupata latest movies wakati tunalipia 35,000 kila mwezi??
 
Wangekuwa wanaweka movies latest, kama imetoka January 2022, basi wao wahakikishe by July 2022 wana kibali cha kuionesha! Ziko nyingi mno, unaambiwa tu ukitaka movies mara sijui uende mtandaoni, mara Netflix.

Netflix, lazima ulipie monthly, uwe na bando ya kudownload au kuangalia moja kwa moja, gharama mara mbili.

Kule kwenye kununua mtandaoni, movie moja ndo mpaa 65,000 huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…