Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si umeshanunua,,!?Upo wapi?
Izo kaka hautaziona labda usubiri kesho kutwaIzo timu apo juu nilizotaja nitaona?
Utafurahia ndondo cup lakini siyo Soca.Nimepata pesa fulani hivi huku ikitosha kununua startimes vipi nitaangalia gem ligi zipi na zipi maana lengo nione man U Asenal, Liverpool, etc.. Nipo njiani naenda kufunga sasa
Nashukuru mkuuKila juma mosi utaona mechi Moja ya ligi ya uingereza epl inarushwa na k24 chanel namba 288, Kuna sanyuka tv channel namba 403. Utaangalia ligi ya ujerumani, ufaransa, utiruki, uarabuni, mechi zote za CAF, Ligue ya Kenya, Uganda, Ghana na Nigeria baadhi.
Ili kufaidi hayo lipia kifurushi Cha elf 21. Karibu startimes
Na canal +EPL utaionea vibanda umiza kwa kina Ujugu Arena huko.
Only DStv ndio wana England League.
Huko kwingine utapata mechi 1 1 za kuokoteza.