Nimenunua muda wa maongezi wa 38K Vodacom kimakosa, kama kuna anayehitaji tuwasiliane

Nimenunua muda wa maongezi wa 38K Vodacom kimakosa, kama kuna anayehitaji tuwasiliane

Eliott

Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
7
Reaction score
11
Habari za mda huu wakuu,

Daah leo nimejichanganya kidogo wakati nafanya transaction kupitia Vodacom, nikajikuta nimenunua muda wa maongezi wa 38K.

Kama kuna mtu anahitaji muda wa maongezi Voda tusaidiane hapo.
 
Pole sana. Kuna siku nimenusurika kununua muda wa maongezi 500k. Nilikuwa nahamisha pesa 500k kutoka NBC account kwenda kwenye namba yangu. Kumbe nimechaguav kununua muda wa maongezi. Kila niki select inakataa kuangalia naona nimechagua kununua muda wa maongezi. Pona yangu ni kwamba kwenye app NBC kununua muda wa maongezi mwisho 100k.
 
Back
Top Bottom