Pole sana. Kuna siku nimenusurika kununua muda wa maongezi 500k. Nilikuwa nahamisha pesa 500k kutoka NBC account kwenda kwenye namba yangu. Kumbe nimechaguav kununua muda wa maongezi. Kila niki select inakataa kuangalia naona nimechagua kununua muda wa maongezi. Pona yangu ni kwamba kwenye app NBC kununua muda wa maongezi mwisho 100k.