[emoji86] [emoji86]Ulitaka liandikwe vipi
TafadhaliUlitaka liandikwe vipi
Huo mfano wako haujasadifu. Kisukuma hakina kimadende /-r-/ na kinapohitajika wao huweka /-l-/ mahala pake. Wakurya wao ni kinyume chake....Nakuunga mkono kirudishe na udai chako, shenzy type huyo mwandishi atakuwa kabila moja na Yule wa magogoni ~"nitarara nao mbere" nonsense sipendi makosa ya kipuuzi namna hii kwenye maandiko!
Kumbuka kuwa kuna mwandishi na wachapishaji, huenda aliyekosea ni mchapajiMimi bado najifunza ila huyu ni MWANDISHI mzimaaa! Aibu sana.
Kama mtu aliyekulia nje na mwenye nia ya kuboresha Kiswahili changu, si nikaamua ninunue novels za Kiswahili ili zinisaidie.
Yaani nimefungua tu ukurasa wa kwanza nikakutana na hilo neno hapo juu "TAFADHARI".
Hivi muandishi mzima uliyeenda shule unaweza kukosea lugha kiasi hicho. Uandishi wa namna hii ni janga kwa taifa letu na unatakiwa kupigwa vita naona watu wengi mno ni wahanga.
ELIMU ELIMU ELIMU.
Hapa niko njiani naenda kurudisha mtabu wao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muosha uoshwaaaNa wewe rekebisha hili
Muandishi - Mwandishi