Nimenunua powerbank feki , msianguke nilipojikwaa

Pole, vitu vingi sana siyo halisi, mimi nilishaamua kununua vitu kwa dealers au kwa watu wenye kujua nini mteja, hii inasaidia kurejesha kitu kama kinakasoro
 
Pia hata Ww mtoa mada/mnunuaji una makosa, jina la bidhaa ni copy and paste YA Oraimo ambayo wanatoa bidhaa bora, hvy Ww unanunua bidhaa feki.
 
Karibu town, karibu tena
 
Asante sana... Katika zama hizi bado kuna watu wanatumia power bank??? Mkuu unatumia Samsung Galaxy S4?
 
Kuna jamaa Kila kitu anauza buku
Memory card ni buku, Chaja ni buku, earphone ni buku yaani chochote ni buku.

Huwa ametandaza chini watu wananunua tu.
Wapi huko mkuu??
 
Hii 60,000 ya Kwanza inacharge Hadi laptop
Ya pili 150,000
Mswaki WA umeme 30,000
Njoo nikupe vitu og
Hyo ya kwako nauza 4,000 ipo pia
 

Attachments

  • IMG-20250719-WA0273.jpg
    80.7 KB · Views: 23
  • IMG-20250505-WA0039(3).jpg
    46.7 KB · Views: 28
  • IMG-20250505-WA0040(4).jpg
    65.3 KB · Views: 24
  • IMG-20250802-WA0261.jpg
    58.1 KB · Views: 26
Tatizo kubwa ambalo linalofanya watu kubwatukia bidhaa fake ni kupenda bei kitonga, I'm telling from my experience oraimo product ubora wake ni wa hali ya juu na bei zake ujipange vizuri . Yaani ununue powerbank ya oraimo ya 10000mah kwa 12000tzs hapo lazima upate famba. Njia nyingine unayoweza kubaini original au fake ni ku scan barcodes itakuambia.
 
Hii 60,000 ya Kwanza inacharge Hadi laptop
Ya pili 150,000
Mswaki WA umeme 30,000
Njoo nikupe vitu og
Hyo ya kwako nauza 4,000 ipo pia
Mkuu tukiachana na ndugu yetu hapo juu kutapeliwa elfu 8 juu ya bei halisi ya elfu 4, nauliza hivi vidole ni vyako?.

Au umevaa zile gloves nyeusi za kushikia products wakati wa kushuti.
 
Mkuu nahitaji hii ya 130w Nina 100k cash hapa
Hii 60,000 ya Kwanza inacharge Hadi laptop
Ya pili 150,000
Mswaki WA umeme 30,000
Njoo nikupe vitu og
Hyo ya kwako nauza 4,000 ipo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…