Nimenunua umeme wa elfu 5 nimepata units 9.8

Nimenunua umeme wa elfu 5 nimepata units 9.8

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Nimetoka kununua luku ya elf 5 nimepata units 9.8 seriously? TZ bora ibinafsishwe tu yote tuendeshwe na watu wenye akili. I remember kw 2006 uko when umeme wa elfu kumi was 68 units na kadi zile za kudumbukiza Km ATM. Imagine now Yaani tutafika elf kumi unit 5 tu if not 1.
 
Weka risit tuone , huenda mita yako Ina deni la TANESCO
 
Wew ulikuwa na madeni yako,

Ila mkuu, unataka bei za 2006 zitumike leo? Miaka 20 mbele? Like seriously? Wakati huo kiatu kikali kilikuwa 10k, leo hii 50k
Nashangaa tu izo bei coz TZ tuna nishati kibao umeme like maji shouldn't be expensive kabisa
 
Nimetoka kununua luku ya elf 5 nimepata units 9.8 seriously? TZ bora ibinafsishwe tu yote tuendeshwe na watu wenye akili. I remember kw 2006 uko when umeme wa elf kumi was 68 units na kadi zile za kudumbukiza Km ATM. Imagine now Yaani tutafika elf kumi unit 5 tu if not 1.
Mkuu tatizo pesa yetu imekosa thamani ndo maana bei imepanda kwa kila kitu, Michele mzuri ni 3400 miaka 15 nyuma ulikua shilling 700 tu.
 
Nimetoka kununua luku ya elf 5 nimepata units 9.8 seriously? TZ bora ibinafsishwe tu yote tuendeshwe na watu wenye akili. I remember kw 2006 uko when umeme wa elf kumi was 68 units na kadi zile za kudumbukiza Km ATM. Imagine now Yaani tutafika elf kumi unit 5 tu if not 1.
Wanaandaa mchongo wa kubinafsisha TANESCO
 
Kikwete asingegawa bure GESI kwa Mabeberu, sasa hivi ingeweza kutumiwa na TANESCO umeme uwe nafuu..
 
Wamekata 1500 kodi ya jengo,jengo ambalo sio lako [emoji28][emoji28]

Umebaki umeme wa 3500
 
Poleee,
Mi nakula unite 16.3 kwa buku 2 mwaka wa tano huu.

Ya mwisho ni leo saa tano na nusu.
Screenshot_20230907_115530_Messages.jpg
 
Mimi nimenunua 3000 nimepata unit 12 nipo Zanzibar [emoji1732]
 
Wew ulikuwa na madeni yako,

Ila mkuu, unataka bei za 2006 zitumike leo? Miaka 20 mbele? Like seriously? Wakati huo kiatu kikali kilikuwa 10k, leo hii 50k
Mshahara wa mwalimu anaeanza kazi 2006 ulikuwa shingapi? Na Sasa ni shingapi?
 
Nashangaa tu izo bei coz TZ tuna nishati kibao umeme like maji shouldn't be expensive kabisa
Hio nishati iko wapi wakati umeme tulionao haututoshi migao daily,
Halafu bei ya umeme haipimwi kwa upatikanaji wa umeme but running cost za miradi, 60% ya umeme ni wa gesi kumbuka
 
Back
Top Bottom