Nimenunua umeme wa elfu 5 nimepata units 9.8

Nimenunua umeme wa elfu 5 nimepata units 9.8

Mimi naambiwa nina deni hata sielewi lilikotoka. 12k napata units 14
 
Jana nmenunua wa 14,800 nmepewa unit 33.
Veru hopelesss..
 
Ndio maana hatuendelei unataka ununue umeme wa elfu 5 uchemshe maharagwe ukimaliza upike makande kweli tanesco kazi mnayo
 
Nimetoka kununua luku ya elf 5 nimepata units 9.8 seriously? TZ bora ibinafsishwe tu yote tuendeshwe na watu wenye akili. I remember kw 2006 uko when umeme wa elfu kumi was 68 units na kadi zile za kudumbukiza Km ATM. Imagine now Yaani tutafika elf kumi unit 5 tu if not 1.
Hongera sana
 
Ukiwa Na Madeni Ya Miezi Mingi Unaponunua Wanakata Kwanza Chao Halafu Ndiyo Unapewa Unit Zako
 
Back
Top Bottom