Nimenusurika kuambukizwa HIV na mwanachuo wa miaka 24 ambaye yupo kwenye mission ya kulipiza kisasi

Siku hizi kula kimasikhara ni kuutafuta
 
Wewe pima tena baada ya miezi mitatu, kama ulinyonya na maziwa kwisha habar yako, waelekeze tuu mahali pa kuzika huo mzoga wako
 
Nipe namba yake
 
Ngoma ushachukua tulia dawa ikuingie, ngoma hainekani kwenye vipimo haraka hivyo subiri ipite miezi mitatu kitu kijibu mamakee 🤣, kutoumbana unakutaka sana ukimwi unauogopa sio
 
Unavyojifanya uko makini na unaogopa ngoma kiboya sana

Ingekuwa kupata ngoma ni rahisi rahisi hivyo basi kila mtu angekuwa nayo

Kuna watu wanahudumia wagonjwa wa ngoma wale wa hatua ya mwisho bila gloves na wanawafulia mpaka nguo lakin na hawapati ngoma

Nakwambia hivi na utakufa kwa ngoma
 
Aise nipe huyo mrembo tusambaziane miwaya. Tutakuwa bony and clide wa hiv🤣🤣🤣🤣
 

Mkuu naomba namba ya uyo demu tubadilishane wadudu tuone wa nani n wakali
 
Asante kwa ushauri. Wale CTC wanaweza kumzuia mtu kufanya ngono kwa namna anavyotaka? Kuna sheria yoyote yenye mamlaka hayo? Labda kama watatoa ushauri na msaada wa kisaikolojia aweze kusamehe.
 
Una miaka mingapi?
 
Duh, nishaanza kuogopa maaana napeleka moto si mchezo nikinusurika huu mwaka nakuwa ostazi padri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…