balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Kwa hiyo na wewe uanao!X wangu huyo GETRUDA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo na wewe uanao!X wangu huyo GETRUDA
Siku hizi kula kimasikhara ni kuutafutaHuyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano.
Kwangu mwanamke yeyote akija kimapenzi lazima kwanza tupime. Yaani ukiingia tu mlangoni unakutana na 'pharmacy' yangu, unapima ndipo uingie.
Binti kafika pale na ndio ilikuwa mara ya kwanza kabisa kumuona. Awali kwa siku kadhaa alikuwa anakataa kuja home akitaka tukutane sehemu nyingine. Nilipokubali akajifanya amebadilisha kwamba ananiamini hivyo atakuja tu home.
Nikamwambia haya tupime akaanza kujizungusha akasema tukae tu tuangalie movie. Kwenye maongezi yetu siku za nyuma alisema alipima mwaka uliopita na yuko poa.
Basi nikasema isiwe kesi, kaa hapo. Kumbe mpango wake ni kuninasa nimle baadae akishanitega. Tumekaa pale kama saa zima kisha nikaanza kumgusa. Nikaona na yeye anakubali. Taratibu tukaendelea kushikana na mwishowe nguo tushazitoa.
Hapo sasa nikamwambia kwasababu tupo ready hebu tupime kisha tuendelee ndipo binti kashtuka na kukataa. Nikamwambia unaniamini niingie hivyo hivyo akasema 'wewe tu'.
Hapo niliamka faster nikawahi bafuni kuoga kwa dettol na kupiga mswaki. Tayari nilikuwa nimeshamshika sana na alikuwa ametoka kumaliza period. Nilikuwa nishafanya romance zote mpaka kunyonya maziwa.
Nikarudi pale na kumwambia avae na kuondoka. Hapo faster nikamcheki jamaa yangu daktari anipatie pep nianze dozi ya haraka. Nimekunywa vidonge siku 28 na nilikamilisha wiki mbili zilizopita.
Sasa bwana yule binti akaanza kunitafuta baada ya siku tatu akijifanya anajutia. Akawa anaandika kwamba alichofanya ni Mungu tu anayeweza kumwelewa. Nikasema ni kitu gani? Akasema akiniona ataniambia.
Kumbe anajua yakipita masaa 72 unakuwa umeupata hivyo hata pep hazifanyi kazi. Anakutafuta ili ujue kwamba amekuambukiza. Alionesha kushtuka na kuwa disappointed baada ya kumuonesha kopo la pep.
Basi nikamwambia tuonane mahali na kweli akaja. Akaniambia yeye ni muathirika na aliambukizwa miaka minne iliyopita. Pia akasema yeye kwa sasa mwanaume yeyote atakayemtongoza anakubali kulala naye. Anasema aliambukizwa kwa makusudi hivyo naye lazima alipize kisasi.
Huyu binti alitokea huko kanda ya ziwa na alikuja Dar kusoma kuanzia certificate na sasa yupo mwaka wa tatu degree. Anatoka familia masikini hivyo alipofika dar maisha yakawa magumu akajirahisisha kwa wanaume.
Ndugu zangu kuweni makini sana maana yupo anatembea kila kiwanja kuusambaza. Jina lake linaanzia na G na linaishia na A.
Nimepima vipimo viwili kwa mpigo niko poa. Picha hapa chini.
View attachment 2639760
Wewe pima tena baada ya miezi mitatu, kama ulinyonya na maziwa kwisha habar yako, waelekeze tuu mahali pa kuzika huo mzoga wakoHuyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano.
Kwangu mwanamke yeyote akija kimapenzi lazima kwanza tupime. Yaani ukiingia tu mlangoni unakutana na 'pharmacy' yangu, unapima ndipo uingie.
Binti kafika pale na ndio ilikuwa mara ya kwanza kabisa kumuona. Awali kwa siku kadhaa alikuwa anakataa kuja home akitaka tukutane sehemu nyingine. Nilipokubali akajifanya amebadilisha kwamba ananiamini hivyo atakuja tu home.
Nikamwambia haya tupime akaanza kujizungusha akasema tukae tu tuangalie movie. Kwenye maongezi yetu siku za nyuma alisema alipima mwaka uliopita na yuko poa.
Basi nikasema isiwe kesi, kaa hapo. Kumbe mpango wake ni kuninasa nimle baadae akishanitega. Tumekaa pale kama saa zima kisha nikaanza kumgusa. Nikaona na yeye anakubali. Taratibu tukaendelea kushikana na mwishowe nguo tushazitoa.
Hapo sasa nikamwambia kwasababu tupo ready hebu tupime kisha tuendelee ndipo binti kashtuka na kukataa. Nikamwambia unaniamini niingie hivyo hivyo akasema 'wewe tu'.
Hapo niliamka faster nikawahi bafuni kuoga kwa dettol na kupiga mswaki. Tayari nilikuwa nimeshamshika sana na alikuwa ametoka kumaliza period. Nilikuwa nishafanya romance zote mpaka kunyonya maziwa.
Nikarudi pale na kumwambia avae na kuondoka. Hapo faster nikamcheki jamaa yangu daktari anipatie pep nianze dozi ya haraka. Nimekunywa vidonge siku 28 na nilikamilisha wiki mbili zilizopita.
Sasa bwana yule binti akaanza kunitafuta baada ya siku tatu akijifanya anajutia. Akawa anaandika kwamba alichofanya ni Mungu tu anayeweza kumwelewa. Nikasema ni kitu gani? Akasema akiniona ataniambia.
Kumbe anajua yakipita masaa 72 unakuwa umeupata hivyo hata pep hazifanyi kazi. Anakutafuta ili ujue kwamba amekuambukiza. Alionesha kushtuka na kuwa disappointed baada ya kumuonesha kopo la pep.
Basi nikamwambia tuonane mahali na kweli akaja. Akaniambia yeye ni muathirika na aliambukizwa miaka minne iliyopita. Pia akasema yeye kwa sasa mwanaume yeyote atakayemtongoza anakubali kulala naye. Anasema aliambukizwa kwa makusudi hivyo naye lazima alipize kisasi.
Huyu binti alitokea huko kanda ya ziwa na alikuja Dar kusoma kuanzia certificate na sasa yupo mwaka wa tatu degree. Anatoka familia masikini hivyo alipofika dar maisha yakawa magumu akajirahisisha kwa wanaume.
Ndugu zangu kuweni makini sana maana yupo anatembea kila kiwanja kuusambaza. Jina lake linaanzia na G na linaishia na A.
Nimepima vipimo viwili kwa mpigo niko poa. Picha hapa chini.
View attachment 2639760
Nipe namba yakeHuyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano.

Ngoma ushachukua tulia dawa ikuingie, ngoma hainekani kwenye vipimo haraka hivyo subiri ipite miezi mitatu kitu kijibu mamakee 🤣, kutoumbana unakutaka sana ukimwi unauogopa sioHuyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano.
Kwangu mwanamke yeyote akija kimapenzi lazima kwanza tupime. Yaani ukiingia tu mlangoni unakutana na 'pharmacy' yangu, unapima ndipo uingie.
Binti kafika pale na ndio ilikuwa mara ya kwanza kabisa kumuona. Awali kwa siku kadhaa alikuwa anakataa kuja home akitaka tukutane sehemu nyingine. Nilipokubali akajifanya amebadilisha kwamba ananiamini hivyo atakuja tu home.
Nikamwambia haya tupime akaanza kujizungusha akasema tukae tu tuangalie movie. Kwenye maongezi yetu siku za nyuma alisema alipima mwaka uliopita na yuko poa.
Basi nikasema isiwe kesi, kaa hapo. Kumbe mpango wake ni kuninasa nimle baadae akishanitega. Tumekaa pale kama saa zima kisha nikaanza kumgusa. Nikaona na yeye anakubali. Taratibu tukaendelea kushikana na mwishowe nguo tushazitoa.
Hapo sasa nikamwambia kwasababu tupo ready hebu tupime kisha tuendelee ndipo binti kashtuka na kukataa. Nikamwambia unaniamini niingie hivyo hivyo akasema 'wewe tu'.
Hapo niliamka faster nikawahi bafuni kuoga kwa dettol na kupiga mswaki. Tayari nilikuwa nimeshamshika sana na alikuwa ametoka kumaliza period. Nilikuwa nishafanya romance zote mpaka kunyonya maziwa.
Nikarudi pale na kumwambia avae na kuondoka. Hapo faster nikamcheki jamaa yangu daktari anipatie pep nianze dozi ya haraka. Nimekunywa vidonge siku 28 na nilikamilisha wiki mbili zilizopita.
Sasa bwana yule binti akaanza kunitafuta baada ya siku tatu akijifanya anajutia. Akawa anaandika kwamba alichofanya ni Mungu tu anayeweza kumwelewa. Nikasema ni kitu gani? Akasema akiniona ataniambia.
Kumbe anajua yakipita masaa 72 unakuwa umeupata hivyo hata pep hazifanyi kazi. Anakutafuta ili ujue kwamba amekuambukiza. Alionesha kushtuka na kuwa disappointed baada ya kumuonesha kopo la pep.
Basi nikamwambia tuonane mahali na kweli akaja. Akaniambia yeye ni muathirika na aliambukizwa miaka minne iliyopita. Pia akasema yeye kwa sasa mwanaume yeyote atakayemtongoza anakubali kulala naye. Anasema aliambukizwa kwa makusudi hivyo naye lazima alipize kisasi.
Huyu binti alitokea huko kanda ya ziwa na alikuja Dar kusoma kuanzia certificate na sasa yupo mwaka wa tatu degree. Anatoka familia masikini hivyo alipofika dar maisha yakawa magumu akajirahisisha kwa wanaume.
Ndugu zangu kuweni makini sana maana yupo anatembea kila kiwanja kuusambaza. Jina lake linaanzia na G na linaishia na A.
Nimepima vipimo viwili kwa mpigo niko poa. Picha hapa chini.
View attachment 2639760
Kwa hiyo uliishia kumla denda na kuanza kumeza mavidonge mwezi mzima? Si bora ungepiga mashine ili umeze ki haki kabisa? Mpuuzi mmoja.
Itakuwa alikuwa kalewa[emoji23][emoji23][emoji23]hivi hapa mwana alifeli wapi
Aise nipe huyo mrembo tusambaziane miwaya. Tutakuwa bony and clide wa hiv🤣🤣🤣🤣Huyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano.
Kwangu mwanamke yeyote akija kimapenzi lazima kwanza tupime. Yaani ukiingia tu mlangoni unakutana na 'pharmacy' yangu, unapima ndipo uingie.
Binti kafika pale na ndio ilikuwa mara ya kwanza kabisa kumuona. Awali kwa siku kadhaa alikuwa anakataa kuja home akitaka tukutane sehemu nyingine. Nilipokubali akajifanya amebadilisha kwamba ananiamini hivyo atakuja tu home.
Nikamwambia haya tupime akaanza kujizungusha akasema tukae tu tuangalie movie. Kwenye maongezi yetu siku za nyuma alisema alipima mwaka uliopita na yuko poa.
Basi nikasema isiwe kesi, kaa hapo. Kumbe mpango wake ni kuninasa nimle baadae akishanitega. Tumekaa pale kama saa zima kisha nikaanza kumgusa. Nikaona na yeye anakubali. Taratibu tukaendelea kushikana na mwishowe nguo tushazitoa.
Hapo sasa nikamwambia kwasababu tupo ready hebu tupime kisha tuendelee ndipo binti kashtuka na kukataa. Nikamwambia unaniamini niingie hivyo hivyo akasema 'wewe tu'.
Hapo niliamka faster nikawahi bafuni kuoga kwa dettol na kupiga mswaki. Tayari nilikuwa nimeshamshika sana na alikuwa ametoka kumaliza period. Nilikuwa nishafanya romance zote mpaka kunyonya maziwa.
Nikarudi pale na kumwambia avae na kuondoka. Hapo faster nikamcheki jamaa yangu daktari anipatie pep nianze dozi ya haraka. Nimekunywa vidonge siku 28 na nilikamilisha wiki mbili zilizopita.
Sasa bwana yule binti akaanza kunitafuta baada ya siku tatu akijifanya anajutia. Akawa anaandika kwamba alichofanya ni Mungu tu anayeweza kumwelewa. Nikasema ni kitu gani? Akasema akiniona ataniambia.
Kumbe anajua yakipita masaa 72 unakuwa umeupata hivyo hata pep hazifanyi kazi. Anakutafuta ili ujue kwamba amekuambukiza. Alionesha kushtuka na kuwa disappointed baada ya kumuonesha kopo la pep.
Basi nikamwambia tuonane mahali na kweli akaja. Akaniambia yeye ni muathirika na aliambukizwa miaka minne iliyopita. Pia akasema yeye kwa sasa mwanaume yeyote atakayemtongoza anakubali kulala naye. Anasema aliambukizwa kwa makusudi hivyo naye lazima alipize kisasi.
Huyu binti alitokea huko kanda ya ziwa na alikuja Dar kusoma kuanzia certificate na sasa yupo mwaka wa tatu degree. Anatoka familia masikini hivyo alipofika dar maisha yakawa magumu akajirahisisha kwa wanaume.
Ndugu zangu kuweni makini sana maana yupo anatembea kila kiwanja kuusambaza. Jina lake linaanzia na G na linaishia na A.
Nimepima vipimo viwili kwa mpigo niko poa. Picha hapa chini.
View attachment 2639760
Huyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano.

ha ha ha ha ha ha haKAZI ipo , baada ya hapo ukaenda kuoga Kwa detol??View attachment 2639779
Asante kwa ushauri. Wale CTC wanaweza kumzuia mtu kufanya ngono kwa namna anavyotaka? Kuna sheria yoyote yenye mamlaka hayo? Labda kama watatoa ushauri na msaada wa kisaikolojia aweze kusamehe.Hivi dettol si anti bacterial? Ama inaua na virus?
Anyway, huyo anapaswa kuwajibishwa kwa kosa la kuambukiza Ugonjwa kimakusudi.
Nakushauri umripoti katika kituo cha afya kitengo cha CTC, watajua namna ya kumuwajibisha.
Wewe umepona, je ni wangapi wataugua? Wengi. Inaweza isikupate wewe, ila makusudi yake ikampata baba yako au nduguyo wa karibu na mwishowe zigo litakuangukia pia kwa namna moja ama nyingine.
Aisee! wewe siyo zee la hovyo tena. Ushauri kama huu hauwezi kutolewa na mtu wa hovyo bali na wenye busara tu. Asante sana.OKOKA, acha uzinifu
Una miaka mingapi?Huyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano.
Kwangu mwanamke yeyote akija kimapenzi lazima kwanza tupime. Yaani ukiingia tu mlangoni unakutana na 'pharmacy' yangu, unapima ndipo uingie.
Binti kafika pale na ndio ilikuwa mara ya kwanza kabisa kumuona. Awali kwa siku kadhaa alikuwa anakataa kuja home akitaka tukutane sehemu nyingine. Nilipokubali akajifanya amebadilisha kwamba ananiamini hivyo atakuja tu home.
Nikamwambia haya tupime akaanza kujizungusha akasema tukae tu tuangalie movie. Kwenye maongezi yetu siku za nyuma alisema alipima mwaka uliopita na yuko poa.
Basi nikasema isiwe kesi, kaa hapo. Kumbe mpango wake ni kuninasa nimle baadae akishanitega. Tumekaa pale kama saa zima kisha nikaanza kumgusa. Nikaona na yeye anakubali. Taratibu tukaendelea kushikana na mwishowe nguo tushazitoa.
Hapo sasa nikamwambia kwasababu tupo ready hebu tupime kisha tuendelee ndipo binti kashtuka na kukataa. Nikamwambia unaniamini niingie hivyo hivyo akasema 'wewe tu'.
Hapo niliamka faster nikawahi bafuni kuoga kwa dettol na kupiga mswaki. Tayari nilikuwa nimeshamshika sana na alikuwa ametoka kumaliza period. Nilikuwa nishafanya romance zote mpaka kunyonya maziwa.
Nikarudi pale na kumwambia avae na kuondoka. Hapo faster nikamcheki jamaa yangu daktari anipatie pep nianze dozi ya haraka. Nimekunywa vidonge siku 28 na nilikamilisha wiki mbili zilizopita.
Sasa bwana yule binti akaanza kunitafuta baada ya siku tatu akijifanya anajutia. Akawa anaandika kwamba alichofanya ni Mungu tu anayeweza kumwelewa. Nikasema ni kitu gani? Akasema akiniona ataniambia.
Kumbe anajua yakipita masaa 72 unakuwa umeupata hivyo hata pep hazifanyi kazi. Anakutafuta ili ujue kwamba amekuambukiza. Alionesha kushtuka na kuwa disappointed baada ya kumuonesha kopo la pep.
Basi nikamwambia tuonane mahali na kweli akaja. Akaniambia yeye ni muathirika na aliambukizwa miaka minne iliyopita. Pia akasema yeye kwa sasa mwanaume yeyote atakayemtongoza anakubali kulala naye. Anasema aliambukizwa kwa makusudi hivyo naye lazima alipize kisasi.
Huyu binti alitokea huko kanda ya ziwa na alikuja Dar kusoma kuanzia certificate na sasa yupo mwaka wa tatu degree. Anatoka familia masikini hivyo alipofika Dar maisha yakawa magumu akajirahisisha kwa wanaume.
Ndugu zangu kuweni makini sana maana yupo anatembea kila kiwanja kuusambaza. Jina lake linaanzia na G na linaishia na A.
Nimepima vipimo viwili kwa mpigo niko poa. Picha hapa chini.
View attachment 2639760
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣KAZI ipo , baada ya hapo ukaenda kuoga Kwa detol??View attachment 2639779
HahahahahahWrite your reply...duh nishaanza kuogopa maaana napeleka moto
simchezo nikinusurika huu mwaka nakuwa ostazi padri