Nimenusurika kuambukizwa HIV na mwanachuo wa miaka 24 ambaye yupo kwenye mission ya kulipiza kisasi

We Jamaa ina Maana hukutumia kinga?.
 
Kweli aisee huyo manzi anachofanya sio kitu kizuri.
 
Unatuaibisha wanaume futa huu uzi wanaume siku hizi tunaogopa kisukari, presha, kansa siyo ukimwi maaana RV si zipo unaogopaje ukimwi
 
Mleta mada mjinga sana tena pumbavu.Hii story kama chai tuu. Hata hivyo Badala ya kumdhalilisha hapa mtoto wa watu ungetumia tuu kondomu umuache mtoto wa watu. Mimi niliishi na binti mwenye HIV 3 years 2008-2011 na sijapata ukimwi mpaka leo nna 48 years.
Usijione mjanja UTAKUFA TUU TENA KIJINGA ZAIDI..
 
Huyu ni muongo, hakuna daktari atakushauri utumie pep kama hujafanya mapenzi..,sasa wewe umeshika tu nakula mate, hizo njia mtu hawezi katu kupata ukimwi, swali kwa nini ulitumia pep!? Lazima unaficha jambo, broo ulimla huyo demu tena kavu, mimi yalishanitokea hayo na leo ni wiki ya sita toka nimeuza mechi tena kwa mwathirika
 
Pimbi wewe
 
Mimi kwangu ndo balaaa nina vipimo vya kila aina vipi vya Gold, vya kawaida N.k...

Kila ninapo kwenda mahali nabeba.
 
Da Ummy
 
Hapo mwanangu ata Mimi ningefanya hvyo

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Endeleeni hivyo hivyo vidume ili muwe wateja wa ARV wazungu waishi.
Mnajisiifia ujinga, wazazi wenu wstalelewa na nani? Watoto wenu je?
Ni bora ukae kimya kushadadia umauti, ndio, wote tutakufa ila sio kizembe tu hiv unakufa.
HIV inansimibu sana na hutakuwa na furaha tena baada ya kuupata hatimae unaweza kuwa mwehu.
 
Mbona ulipanik sana mweshimiwa?

Nani alikwambia ukimwi unaambukizwa kama unagawiwa njugu?

Huyo binti ana elimu ya university kweli au ni kihiyo mmoja anayejiuza tu?

Angelikuwa kaelimika angalijua na kufahamu wazi kuwa Ukimwi hauambukizwi kirahisi namna hiyo na kwa visasi.

Eti kisasi, kwani wewe ndiye uliyemwambukiza!

Huyo atakufa haraka sana kama mwenendo wake wa maisha unaonesha tayari ashajikataa.

Anaweza kuja kwako kwa dhamira ovu lakini akakukuta na wewe ni mwathirika ukamwambukiza yeye ukimwi wa pili ama homa ya ini.

Ina maana hayo yote msomi mzima hayaelewi?

Ungeweza kumgonga kavu bila hata ya kufakamia pep ukasavaiv vile vile.

Kuambukizana gonjwa la ukimwi kuna process zake na siyo hizo alizotaka kuzitumia kwako, ni njia ya kubahatisha.

Huyo alikuwa na upwiru tu wa kugongwa kavu kavu hana lolote.
 
Na kwa ushuhuda huo bado unaamini kuna ngoma
 
Sasa haujapiga ungeambukizwa vipi?kingine huyo demu anaogopa kufa lazima anatumia ARV na kama ulimuandaa mda mrefu isingekuwa rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…