Nimenusurika kuambukizwa HIV na mwanachuo wa miaka 24 ambaye yupo kwenye mission ya kulipiza kisasi

Nimenusurika kuambukizwa HIV na mwanachuo wa miaka 24 ambaye yupo kwenye mission ya kulipiza kisasi

Wanasema usipige mswaki dk chache kabla na baada ya kunyona nyonyana.
Ni sahihi kabisa. Kwa sababu gani?

Miswaki ina tabia ya kuchua ulimi na hata fizi. Sasa endapo ukinyonyana na mwathirika, basi kuna urahisi wa kuambukizwa.

Virusi vinapata upenyo kutokana na mchubuko ulioupata na hatimaye maambukizi.
 
0f3f98fb10547b37037f177d42778e49_(1).jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa hilo wowowo alivyolisusa khaaaa [emoji119][emoji119][emoji119] si countrywide huyu
Nilikuwa nimelala ila ghafla nikaamka nikahisi tu cute wife kuna sehemu atakua ananisema. Kumbe kweli

Wewe hutakaa uje upate tako kama hilo, hapo unawaonea wivu mno hao wadada
 
Nilikuwa nimelala ila ghafla nikaamka nikahisi tu cute wife kuna sehemu atakua ananisema. Kumbe kweli

Wewe hutakaa uje upate tako kama hilo, hapo unawaonea wivu mno hao wadada

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utakabwa na vibwengo ndotoni

Mwenzio nina tako sema silipendi nataka nikafanye surgery lipungue sipendi kubebelea vitu ukipita unapigiwa miluzi
 
Huyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano.

Kwangu mwanamke yeyote akija kimapenzi lazima kwanza tupime. Yaani ukiingia tu mlangoni unakutana na 'pharmacy' yangu, unapima ndipo uingie.

Binti kafika pale na ndio ilikuwa mara ya kwanza kabisa kumuona. Awali kwa siku kadhaa alikuwa anakataa kuja home akitaka tukutane sehemu nyingine. Nilipokubali akajifanya amebadilisha kwamba ananiamini hivyo atakuja tu home.

Nikamwambia haya tupime akaanza kujizungusha akasema tukae tu tuangalie movie. Kwenye maongezi yetu siku za nyuma alisema alipima mwaka uliopita na yuko poa.

Basi nikasema isiwe kesi, kaa hapo. Kumbe mpango wake ni kuninasa nimle baadae akishanitega. Tumekaa pale kama saa zima kisha nikaanza kumgusa. Nikaona na yeye anakubali. Taratibu tukaendelea kushikana na mwishowe nguo tushazitoa.

Hapo sasa nikamwambia kwasababu tupo ready hebu tupime kisha tuendelee ndipo binti kashtuka na kukataa. Nikamwambia unaniamini niingie hivyo hivyo akasema 'wewe tu'.

Hapo niliamka faster nikawahi bafuni kuoga kwa dettol na kupiga mswaki. Tayari nilikuwa nimeshamshika sana na alikuwa ametoka kumaliza period. Nilikuwa nishafanya romance zote mpaka kunyonya maziwa.

Nikarudi pale na kumwambia avae na kuondoka. Hapo faster nikamcheki jamaa yangu daktari anipatie pep nianze dozi ya haraka. Nimekunywa vidonge siku 28 na nilikamilisha wiki mbili zilizopita.

Sasa bwana yule binti akaanza kunitafuta baada ya siku tatu akijifanya anajutia. Akawa anaandika kwamba alichofanya ni Mungu tu anayeweza kumwelewa. Nikasema ni kitu gani? Akasema akiniona ataniambia.

Kumbe anajua yakipita masaa 72 unakuwa umeupata hivyo hata pep hazifanyi kazi. Anakutafuta ili ujue kwamba amekuambukiza. Alionesha kushtuka na kuwa disappointed baada ya kumuonesha kopo la pep.

Basi nikamwambia tuonane mahali na kweli akaja. Akaniambia yeye ni muathirika na aliambukizwa miaka minne iliyopita. Pia akasema yeye kwa sasa mwanaume yeyote atakayemtongoza anakubali kulala naye. Anasema aliambukizwa kwa makusudi hivyo naye lazima alipize kisasi.

Huyu binti alitokea huko kanda ya ziwa na alikuja Dar kusoma kuanzia certificate na sasa yupo mwaka wa tatu degree. Anatoka familia masikini hivyo alipofika dar maisha yakawa magumu akajirahisisha kwa wanaume.

Ndugu zangu kuweni makini sana maana yupo anatembea kila kiwanja kuusambaza. Jina lake linaanzia na G na linaishia na A.

Nimepima vipimo viwili kwa mpigo niko poa. Picha hapa chini.

View attachment 2639760
Umedanganya, hicho kipimo ni kimoja na ndio maana specifications zake ni zilezile
 
Back
Top Bottom