Mzee ngalauka
Member
- Sep 29, 2024
- 85
- 166
MAANDIKO KAMA HAYA YANAPENDEZA ZYD KULE FACEBOOK
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie aje kwa secretarybird AKA dume la mbegu, nimchakate kwa mitindo anuwai, mradi roho yake ipate kusuuzika.Nishakupa namba toka Jana hujanichk uje upate dozi Poor Brain secretarybird shangazi yenu analalama
Pole sana mkuu... ila usimlaumu sanaa coz kuna bahati mbaya au kujisahau kwenye kutenda jambo. Pia usije jaribu kumfanyia yeye kwa makusudi, coz inaeweza ikawa bahati mbaya na akapoteza uhai, na nafsi yake itaandama maisha yako yote.Wakuu wasalam..
Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana.
Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja.
Wakuu katika haya maisha kama kitu ujui boraa kuuliza tu.. maana jana ilikua ni hatari mno maana mngesikia mengine.
Huyu mtu jana alikuwa anafanya jaribio la kutaka kunitoa roho ili badae aseme ni bahati mbaya.
Usiku baada ya msosi nikasema leo ngoja nimualike antiel tuje kucheki chek movie. Vishu Mtata Sio antiel dorry huyu ni mwingine..
Usiku kavizia mimi nimelala yeye kapulizia dawa alafu yeye akatoka njee .. mi nasema alivizia maana hata sababu anazotoa mi bado sijamwelewa
Wakuu hali niliyopitia acha tuu yaani yale madawa ni kama koo linakauka alafu una paliwa mda wote..
Kilichoniokoa ni kuingia chini ya kitanda huku nikiwa nimejifunika taulo puani.
Maana mlango alifunga kwa njee.
Anakuja kufungua anatoa sababu za kijinga kijinga et alikua chooni wakuu.n Kweli chooni nusu saa .
Mimi nilitamani nipulizie dawa alafu alale na yeye ili aone show yake.
Kiufupi wakuu elimu itolewe zaidi kuhusu hizi dawa maana jana niliona kabisa nadharililika maana nusu haja zinitoke aiseee
View attachment 3196221
Wewe Infropreneur unaesema Mungu hayupo sijui mara uamini ..
Jifingie room alafu puliza huu mzigo kuna vtu utaona ndo utaamini there is someone called soul removaler au mtoa roho
Hiyo nyumba ulolala Haina madirisha???Wakuu wasalam..

Mkuu nyumba/chumba yako/chako haina/hakina madirisha.Wakuu wasalam..

Panda ni nini mkuu?Kuna panda alijificha ndani tafuta tafuta na wewe nikamuambia wife kanunue rungu,akaleta fasta nikafunga milango ziba kila uwazi kisha nikapuliza ya kutosha tukakaa nje,dk 3 nyingi tukasikia panda inagonga mlango kwa ndani ifunguliwe itoke!...siyo poa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Chandarua ni mambo ya kizamani..
Wanaotumia vyandarua jua wanataka kuwa ma pilot mkuu
Anahitaji kuchakatwaMwambie aje kwa secretarybird AKA dume la mbegu, nimchakate kwa mitindo anuwai, mradi roho yake ipate kusuuzika.
Ooooh mambo ya inheritance hayo....namaanisha baba anacho pia
😄😄😄😄 Sawa mzeeMAANDIKO KAMA HAYA YANAPENDEZA ZYD KULE FACEBOOK
Wewe kuna akili yako inakua kama umevuta hvi mkuuMwambie aje kwa secretarybird AKA dume la mbegu, nimchakate kwa mitindo anuwai, mradi roho yake ipate kusuuzika.
Mfungulie kesi ya attempted murder mkuu. Ingawa sina imani na hizi mahakama za bongo, but you can give it a try..Wakuu wasalam..
Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana.
Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja.
Wakuu katika haya maisha kama kitu ujui boraa kuuliza tu.. maana jana ilikua ni hatari mno maana mngesikia mengine.
Huyu mtu jana alikuwa anafanya jaribio la kutaka kunitoa roho ili badae aseme ni bahati mbaya.
Usiku baada ya msosi nikasema leo ngoja nimualike antiel tuje kucheki chek movie. Vishu Mtata Sio antiel dorry huyu ni mwingine..
Usiku kavizia mimi nimelala yeye kapulizia dawa alafu yeye akatoka njee .. mi nasema alivizia maana hata sababu anazotoa mi bado sijamwelewa
Wakuu hali niliyopitia acha tuu yaani yale madawa ni kama koo linakauka alafu una paliwa mda wote..
Kilichoniokoa ni kuingia chini ya kitanda huku nikiwa nimejifunika taulo puani.
Maana mlango alifunga kwa njee.
Anakuja kufungua anatoa sababu za kijinga kijinga et alikua chooni wakuu.n Kweli chooni nusu saa .
Mimi nilitamani nipulizie dawa alafu alale na yeye ili aone show yake.
Kiufupi wakuu elimu itolewe zaidi kuhusu hizi dawa maana jana niliona kabisa nadharililika maana nusu haja zinitoke aiseee
View attachment 3196221
Wewe Infropreneur unaesema Mungu hayupo sijui mara uamini ..
Jifingie room alafu puliza huu mzigo kuna vtu utaona ndo utaamini there is someone called soul removaler au mtoa roho
Asante mkuu kwa ushauri wako ..Pole sana mkuu... ila usimlaumu sanaa coz kuna bahati mbaya au kujisahau kwenye kutenda jambo. Pia usije jaribu kumfanyia yeye kwa makusudi, coz inaeweza ikawa bahati mbaya na akapoteza uhai, na nafsi yake itaandama maisha yako yote.
Hilo liwe kama funzo uwe makini, usimwamini mtu kirahisi ata kama mkeo.
Durisha moja tyu..Hiyo nyumba ulolala Haina madirisha???
Mkuu vipi jamaa hali yake..Mkuu nyumba/chumba yako/chako haina/hakina madirisha.
Huo ujinga alishawahi ufanya jamaa mmoja wakati nasoma, imefika time ya kulala mbu kadhaa wanasumbua akaanza spray hiyo dawa
Panya itakua..Panda ni nini mkuu?
Nishazinguana nae mkuu..Mfungulie kesi ya attempted murder mkuu. Ingawa sina imani na hizi mahakama za bongo, but you can give it a try..
Umeniangusha sana mkuu..Nishazinguana nae mkuu..
Japo kasema alikua haelewi
Daaah mkuu nimekuangusha kwa lipi hapoUmeniangusha sana mkuu..
Peleka Polisi hiyo mbw@ ingawa sina imani nao sana hawa Polisi wa bongo..Daaah mkuu nimekuangusha kwa lipi hapo