Nimenusurika kuuawa Guest house baada ya mpenzi wangu kupandisha majini

Bro naomba namba yake basi
 
Pole sana mkuu,hata mimi nimewahi nusurika pale msata lodge flani wanaiita MBUTA...wahudumu wa pale ni waseng' sana maana walichomesha..ila kibaharia nikaponea chupu chupu.
 
Mbona kama stori inatokea kuzimu hii, mna uhakika huyu mwandidhi yuko duniani???
 
Pole sana mkuu,hata mimi nimewahi nusurika pale msata lodge flani wanaiita MBUTA...wahudumu wa pale ni waseng' sana maana walichomesha..ila kibaharia nikaponea chupu chupu.

Watu wataona chai
 
Alikuwa bikra ?
 
Sasa Riwaya... anyways, uko vizuri ila zingatia kanuni za utungaji hasa alama za uandishi
 
Mkuu hizo ni Code, nitazieleza siku nyingine.

Ila ukiyasema hayo maneno sharti uyaseme ukiwa umeyakaza macho yako pasipo kupepesa kulia wala kushoto, umtazame usoni.

Au unong'one sikioni mwake, ukiwa umemshika mikono yake Kwa nguvu.
sawa mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…