X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
fuata maelekezo vizuri kamanda...Kwa Hali ilivyokuwa angenimudu katikati ya mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fuata maelekezo vizuri kamanda...Kwa Hali ilivyokuwa angenimudu katikati ya mchezo
hapo ndipo alikuzidi ujanja!
Malalamiko yake kuhusu harufu asiyoipenda ilikuwa ni sababu tosha hasa nawe uliponusa hizo harufu.
Laiti ungemsikiiza mechi ikasogezwa mbele usingejipata kwenye kadhia hiyo.
Juzi niko lugalo hospital kalewa dogo Ana kama 15 years hiv. Walizani maleria umepanda kichwani kumbe majini bwana. Yaani kumbana yule dogo ili achomwe sindano ya usingz/kumlegeza ilihitaji wanaume 6 walishiba Kati yao wanajeshi 3 na bado ilikuwa ni varangati. Na dogo hana mwili mkubwa wala nn. Ndio ni kasemA Haya madude yakivaa mwili Wako na MIGUVU yao ya KISHETANI si ya kuyasogelea kabisa. Mimi demu akianza hizo swaga za Mapepo tu hapo hapo NASEPA
pole sana mkuu..
naomba nijifunze hap kitu toka kwako..
haya maneno ya kikulungwa ndo yapii??
naomba unisaidie na jamii forum kwa ujumla..
Wakati huo unachezea kunyongwa umevaa boxer tuu[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃😃😃
Dunia hii Mkuu
vp kuhusu mkeo ulioa bikra akipata hizi taarifa bdo ataendelea kukuvumilia kwa kigezo cha kuwa wa kwanza kwake?silaha kubwa ni kumchatisha maneno ya shombo kabla hamja kutana...ukikutana nae ukipima oili lazima tu utakutana na utelezi...kiaina unahakikisha kidole chako kimebeba ule utelezi wake wa huko chini unampaka utosini bila yeye mwenyewe kujua...hakikisha umempaka utosini sio kwenye nywele uiguse ngozi ya utosi kabisa...Raundi ya pili hatoki mtu
silaha kubwa ni kumchatisha maneno ya shombo kabla hamja kutana...ukikutana nae ukipima oili lazima tu utakutana na utelezi...kiaina unahakikisha kidole chako kimebeba ule utelezi wake wa huko chini unampaka utosini bila yeye mwenyewe kujua...hakikisha umempaka utosini sio kwenye nywele uiguse ngozi ya utosi kabisa...