Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetulisha matango pori. Na vurumai yote hiyo warda hujamla. Arrange siku nyingine...irudiweeeMkuu unaweza dhani hadithi.
Duh ila nyie wanaume mna nyege mbaya😆😆Ndio sababu nimekuuliza ndugu, ni uhalisia au ndoto? Maana Mimi mwenyewe niliwahi kumla mwanamke mmoja huwa ana majini wawili mwenyewe anawaita walimu wake, sema tu alikuwa ameshanihadithia kabla na nikalithibitisha hilo siku moja nimepita mazingira ya nyumbani kwao na baba yake alikuwepo ndiye humsaidia kuyatuliza.
Siku za mbeleni akaniletea qumma yeye mwenyewe nikamhoji vipi kuhusu hao walimu wako maana sipendi kusumbuliwa, akanihakikishia amewaomba na wamemkubalia kwahiyo haina shida na ana nyegge nyingi hajafanywa kwa muda mrefu sana mtu wake alikuwa safari nikalala naye hadi asbh ~ nakumbuka siku ile sikupata tone la usingizi nikijihami kuwa nikiona dalili yyt ya ajabu natoka mbio ndefu [emoji16]
Kwahyo uwadaganya wenzake alioa mke mubovu kisa bikra Sasa anatoka na warembo zaidi.Unaambiwa huyo Warda ana mume...
so walikuwa wamejiiba tu.....
Mambo yako I see renewed my number, so I don't have yours loh.Mic u mamiiii
hapo ndipo alikuzidi ujanja!Mimi niliona ananitania Mwanzoni.
Aisee!!
Daa... pole sana mkuuu.Kwema Wakuu!
Leo hii mngepewa taarifa ya tanzia ya msiba wa jokajeusi baada ya Jana kunusurika kuuawa nikiwa Guesthouse. Kwa kweli ningeingia Kuzimu Kwa Aibu huku nikiacha fedheha kubwa Duniani. Ishu ilianza, majira ya saa moja jioni, ambapo nilikuwa nikiwasiliana na Mtoto mrembo aitwaye Warda.
pole sana mkuu..Kwema Wakuu!
Leo hii mngepewa taarifa ya tanzia ya msiba wa jokajeusi baada ya Jana kunusurika kuuawa nikiwa Guesthouse. Kwa kweli ningeingia Kuzimu Kwa Aibu huku nikiacha fedheha kubwa Duniani. Ishu ilianza, majira ya saa moja jioni, ambapo nilikuwa nikiwasiliana na Mtoto mrembo aitwaye Warda. Warda ni Mdada wa miaka 25 -27 hivi, mwenye macho mazuri, mrembo mwenye umbo matata ambalo nikiri ndilo lililo nivutie mbali na Sura yake nzuri.
Unaendekeza nyegeKwema Wakuu!

Nani analipia uharibifuImeisha hiyo
Kumbe huyo jamaa ni ngosha [emoji23][emoji23]Brother una fix si za nchi hii, sijapata kuona msukuma mwenye fix kama zako