Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila picha ni chai tu mazeeKwema Wakuu!
Leo hii mngepewa taarifa ya tanzia ya msiba wa jokajeusi baada ya Jana kunusurika kuuawa nikiwa Guesthouse. Kwa kweli ningeingia Kuzimu Kwa Aibu huku nikiacha fedheha kubwa Duniani. Ishu ilianza, majira ya saa moja jioni, ambapo nilikuwa nikiwasiliana na Mtoto mrembo aitwaye Warda. Warda ni Mdada wa miaka 25 -27 hivi, mwenye macho mazuri, mrembo mwenye umbo matata ambalo nikiri ndilo lililo nivutie mbali na Sura yake nzuri.
Warda ni Hotelia katika moja ya Hoteli kubwa hapa DSM, Hoteli ya nyota nne, iliyopo Maeneo ya posta. Nilikutana naye wiki moja iliyopita, nilipofika k
[emoji120][emoji120]Nasubiria hapa saa saba
Dah hatari sana“shindwa pepo kwa jina la Yesu” x3
Watu wanatamka jina la Yesu mpaka kwenye uasherati huko!😅😅😅
Sasa huyu wake hadi walimu wako kichwani kwake mweeeh [emoji23][emoji23][emoji23]Jibu unalo[emoji28][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jini halimtoi jini mwenzie bali hushirikiana kutoa shambulizi kwa mlengwa, acha uzwazwa utakufa kisa papuchi inayomilikiwa na majini[emoji2][emoji2][emoji2]
Kuna Jinni ukoo wa Subiani liliyavaa miaka ya nyuma, nafikiri halikukutana na jini la Warda likampa Stori zangu.
Lete hii storyNilishakutana na Jinni ukoo wa Subiani nilishamtoaga Knockout.
So najua nachoenda kufanya
Sawa kikubwa usilete mrejesho wa uongo, ili u win tutakustukia [emoji23][emoji23][emoji23]Nilishakutana na Jinni ukoo wa Subiani nilishamtoaga Knockout.
So najua nachoenda kufanya
Jini halimtoi jini mwenzie bali hushirikiana kutoa shambulizi kwa mlengwa, acha uzwazwa utakufa kisa papuchi inayomilikiwa na majini
Haya bwasheeNakuambia hivi nilikutana na Msichana mmoja huko Korogwe miaka ya 2016 alikuwa Jinni jamii ya Subiani akaleta fujo zake lakini vita Ile nilishinda kiwepesi kabisa.
Sasa huyu wa Warda hawezi nisumbua
Ni evidence, hakuna sehemu alikuweka alama ?😃😃😃
Mbona mwapenda picha
Tunasubiri.Nafikiri mechi inayofuata itakuwa rahisi, mechi hii majini yake ndio yangeshinda Kwa sababu sikuwa najua.
Nitaleta mrejesho