Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba contact zake mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu mzee yeye alisema huwa ana deal na wanawake bikra tyuuh.
Ndo nkawa namuuliza hapo, je huyo nae bikra? Ila kiukweli majina ya Warda sijui vipi, kulikua warda tulisoma wote primary class 1, jaman tangu drs la 6 anatembea na wakaka wa mtaan, na alikua mcharuko hatari lol.
Now time kaolewa ila hajazaa had now, japo kwenye ndoa huu mwaka 4.
Mic u mamiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiki mbona kama Riwaya fulani vile....Kwema Wakuu!
Leo hii mngepewa taarifa ya tanzia ya msiba wa jokajeusi baada ya Jana kunusurika kuuawa nikiwa Guesthouse. Kwa kweli ningeingia Kuzimu Kwa Aibu huku nikiacha fedheha kubwa Duniani. Ishu ilianza, majira ya saa moja jioni, ambapo nilikuwa nikiwasiliana na Mtoto mrembo aitwaye Warda. Warda ni Mdada wa miaka 25 -27 hivi, mwenye macho mazuri, mrembo mwenye umbo matata ambalo nikiri ndilo lililo nivutie mbali na Sura yake nzuri.
Aisee nakuja niveryfy.....Hapa naelekea Hospitali, Warda kalazwa.
Mliopo karibu na Kairuki Hospital mje mumuone Warda alafu mlete mrejesho hapa
Pole sana, ila hawa wanawake wazuri wengi wanashida ya majini.Kanikata na chupa mkononi
Heeeh wee mke wa mtu akati lol, [emoji23][emoji23][emoji23]Naomba contact zake mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaambiwa huyo Warda ana mume...Vipi huyo warda alikuwa bikra?
Naungeuliwa tu maana mshahara wa dhambi mauti.
Ww ni wa kuaga kabisa ww.....Namfunga kamba
Asipoleta part two tutajua ameisha kwenda na majiLete hii story
Inawezekana tukawa tunachat na mzimu hapaUna hakika kweli hujauawa?
Kwani marehemu aliyenusurika anasemaje?Inawezekana tukawa tunachat na mzimu hapa
Anasema alikuwa na Warda...Kwani marehemu aliyenusurika anasemaje?
Halafu atu-tagAliyesoma uzi wote aweke summary
Hata mimi nimeoaHeeeh wee mke wa mtu akati lol, [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana joka jeusiKwema Wakuu!