Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
- Thread starter
- #161
Warda alikuwa akilalama anajisikia vibaya,Aisee!.
Tukio kama hili nakumbuka liliwahi kunitokea. Niliingia Gest na Pisi kali, tukiwa kitandani namuandaa yule Binti akaniambia kichwa kinamuuma hajisikii vizuri - Simu yangu ikawa inaita nikapokea. Alikuwa ni mchungaji wa Kanisani kwetu, aliniambia alikuwa kwenye maombi kaonyeshwa kuwa mimi nipo Gest na Binti mwenye Mapepo saba hivyo nakaribia kuingia matatizoni. Akaniomba nisitishe hilo zoezi.
Nikajiuliza iwapo angepandisha mapepo, Sijui nini kingetokea maana binafsi sina uwezo wa kuyatuliza wala kupambana nayo ningeishia kutimua mbio tu.
Kisha akaanza kutetemeka huku akilalamika baridi,
Akawa anasisitiza hajisikii vizuri. Mimi nikawa namuona anazingua