Nimenyoosha mikono juu

Mnaanzaga mahusiano na wajinga wajinga mkinyooshwa mnaanza kulia lia.

Wanawake kama ninyi unakuta kuna kijana alikupenda kwa dhati ila ulimchukulia poa kwa kua hana kitu ukaenda kwa mwingine,sasa umenyooshwa

Pole sana mrembo,sali sana umtumikie Mungu tu sasa !…...
 
Ndio shida ya kusikiliza moyo kuliko akili
 
Walifanya haraka Sana, hakuwa na kusumbiri na kumjua huyo jamaa fresh
 
Kuna kosa Moja kubwa la kiufundi sana umelifanya .

Usingelifanya Hilo,na ukajua namna ya kumdeal, ungemuweza kabisa
 
Ukifuatilia nyuzi za huyu dada utagundua kua plug zake hazichomi vizuri kichwani
😂😂😂😂😂😂
Anastaajabisha sana..

Na alienda kwa huyo jamaa akiwa kashacheza first half na ana goli moja..
 
Kwahiyo hutaki mgawane mali umeamua kumwachia kila kitu? Huyo mtoto unamlea vip? Au umesahau haki zako ukishaishi na mwanaume zaid ya mika miwili muwe na ndoa au msiwe na mdoa? Umesahau?
 
Ungeeleza kinaga ubaga Yale magumu uliyopitia kwenye ndoa yako ndio tujue jinsi ya kukushauri dada.

BTW pole Sana na Mungu akufariji.
 
Kwahiyo hutaki mgawane mali umeamua kumwachia kila kitu? Huyo mtoto unamlea vip? Au umesahau haki zako ukishaishi na mwanaume zaid ya mika miwili muwe na ndoa au msiwe na mdoa? Umesahau?
Nasikia ukiondoka mwenyewe haupati kitu mpaka awe amekufukuza
 
Tatizo wanawke wengi wanaleta masihara na mazoea kwenye ndoa. Wanaume wengi tunavumilia basi tu liende achana na kutokujua mapenzi Wala kujali Kuna hili la uchafu, kwa kweli ni tabu mwanamke unakuta mzuri mama wa nyumbani unashindwa kuoga mara tatu, mswaki anashindwa kupga baada ya Kila mlo. Wengi mmeishia kutulaumu bure, Jirekebisheni bana vipo vya kuvumilia ila sio ujinga.
 
Nasikia ukiondoka mwenyewe haupati kitu mpaka awe amekufukuza
Sheria ipi? Na si ujiulize yeye mwanaume akiondoka inakuwaje?

Iko hivi yeyote anataka talaka kugawana mali, mahakama inasimama na sheria ya ndoa, 160, inasema kama mmeishi pamoja ndani ya nyumba moja na watu wanawaona, uwe mlisogezana au ndoa, .uwe na watoto au msiwe nao, so long as mmeishi wote zaidi ya miaka miwili, kisheria nyie ni wana ndoa.

Mtagawana kati vitu mlivyotengeneza wote kuanzia pale mlipo anza kuishi wote.

Kitu ulicho mkuta nacho hamtogawana.

Mfano ulimkuta na gari, hamtoganawa.

Ila hilo gari kama alinnunua ukiwa ndani, hata kama haukuchangia gari hilo mtaligawana.

Nyumba mlokuwa mkiishi kama mna watoto hiyo hamuigusi. Mtagawana hayo maduka ulosema, labda na viwanja kama mnavyo etc etc. Umeelewa?
 
Sijajua ulichompendea, ila kama ulilazimisha ndoa vile.

Sa ivi ni ngumu kumuelewa yeyote ila baada ya mda moyo utapona
 
Pole sana dear. Kweli unapitia mapito mazito keep going any how
 
Pole ,hebu tupatie mrejesho unaendeleaje lady in action ?

Haya mambo mwanzo wake ni mgumu sana
 
Pole dear....But ikitokea unahitaji mkuyenge services, dont hesitate..My PM is widely open for you.
 
Pole mama
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…