kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Mnaanzaga mahusiano na wajinga wajinga mkinyooshwa mnaanza kulia lia.Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Wanawake kama ninyi unakuta kuna kijana alikupenda kwa dhati ila ulimchukulia poa kwa kua hana kitu ukaenda kwa mwingine,sasa umenyooshwa
Pole sana mrembo,sali sana umtumikie Mungu tu sasa !…...