Aikatai aikatox
Kwetu hatuna garama tena ni kwa sababu wameolewa na wasukuma (inajulikana mnatoa mahari ndefu) ingekuwa ni mchaga hata laki 2 unaoa
Safi sana kwahiyo Dada zako wote wameolewa na wasukuma?Kwetu hatuna garama tena ni kwa sababu wameolewa na wasukuma (inajulikana mnatoa mahari ndefu) ingekuwa ni mchaga hata laki 2 unaoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Oa tu mkishapata mali jiandae kutangulia kaburini
Kweli huko kuna totoz kali sana...
I know!
Nenda Mbeya Tukuyu alaf urudi tena hapa kuniambia umeona nini