princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Hahaha ngosha kashadata na ma'manka wa MS ni full kinyulaa aseee!!Bhakachelaga hashamaguta
Hata nzi hufia kwenye kidonda chenye mafuta mafuta. Kwahiyo siyo mbaya acha tu nife
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha ngosha kashadata na ma'manka wa MS ni full kinyulaa aseee!!Bhakachelaga hashamaguta
Hata nzi hufia kwenye kidonda chenye mafuta mafuta. Kwahiyo siyo mbaya acha tu nife
Dingiwisee mwambie akitoka uko aje azuie na Uku fas ya Gachuland,,Mze baba kaskazini nzima ..sio moshi tu.
Oyooooooooo ni kwikwidee aridee.A TOWN Mikono Juu [emoji870]
Eee babaetuu hii fasi ya nothi ni kwewisee..Dingiwisee mwambie akitoka uko aje azuie na Uku fas ya Gachuland,,
Ni kwikwidee Babaako.
Ni kweli shida yao miguu, ya mbuAman iwe kwenu wapendwa
Kwanza kwa kuondoa utata Mimi siyo Wa Kilimanjaro Mimi ni msukuma Wa mwanza lakin Niko huku Kilimanjaro tumekuja huku na mjomba kusalimia wakwe zake maana kaoa huku
Twende kwenye maada
Alooo ngosha wenzangu huku kuna watoto weupe kishenz wana saut nzur hizoo aloo aloo usipime Mimi nimenyosha mikono ndugu zangu watoto ni twiga warefu kama Wa kwetu usukuman sema hawa ni weupe sana
Yaan wanavyoniita ndo nachoka kabisa naitwa baba Yangu aisee Mimi nitahamia tu huku jaman
Siku nikikutana na mtu akawa anawaongelea vibaya watoto Wa huku Kilimanjaro nitapigana Naye. Kwanza hapa alipoa mjomba hii familia ni weupe kama waarabu Wa kayenze, kuna mtoto mmoja nimemzimikia hapa kashanipa na namba lazima niache alama huku
Nimetembea mikoa mingi lakin huu mkoa nimenyosha mikono yaan nimewavulia kofia kabisa
Wachaga mumebalikiwa kuwa na wasichana wazur weupe hongeren sana ngosha lazima nitakuja kuoa kwenu
LONDON BOY
Tomaa uko huku anyway weupe tunalipa mara x2Kiukweli nina dada zangu wa3 wameolewa usukumani,kikubwa kisa weupe....kuna siri gani wasukuma kupenda watoto weupe? Niliambiwa mahari ya mtoto mweupe ni zaidi ya wa kawaida ni kweli hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Miguu unaifanyia nini mkuu?Ni kweli shida yao miguu, ya mbu
Noma sana mkuuHahaha ngosha kashadata na ma'manka wa MS ni full kinyulaa aseee!!
Aa wewe utanifanya nije huko aiseeUkitoka uko pitia na Chugga bablai..Uku utavua hadi nguo ariff,Kuna watoto wa kirangi na wambulu ni laana aisee!!
Dada zako wameolewa kwa mahar kias ganKiukweli nina dada zangu wa3 wameolewa usukumani,kikubwa kisa weupe....kuna siri gani wasukuma kupenda watoto weupe? Niliambiwa mahari ya mtoto mweupe ni zaidi ya wa kawaida ni kweli hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeWanatukana balaa, wengi wahuni wahuni halafu hata kugegedana hawajui