Nimenyosha mikono tz nzima watoto wakali wako moshi Kilimanjaro

Nimenyosha mikono tz nzima watoto wakali wako moshi Kilimanjaro

Ukitoka uko pitia na Chugga bablai..Uku utavua hadi nguo ariff,Kuna watoto wa kirangi na wambulu ni laana aisee!!
 
Kiukweli nina dada zangu wa3 wameolewa usukumani,kikubwa kisa weupe....kuna siri gani wasukuma kupenda watoto weupe? Niliambiwa mahari ya mtoto mweupe ni zaidi ya wa kawaida ni kweli hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe kwenu wapendwa

Kwanza kwa kuondoa utata Mimi siyo Wa Kilimanjaro Mimi ni msukuma Wa mwanza lakin Niko huku Kilimanjaro tumekuja huku na mjomba kusalimia wakwe zake maana kaoa huku

Twende kwenye maada

Alooo ngosha wenzangu huku kuna watoto weupe kishenz wana saut nzur hizoo aloo aloo usipime Mimi nimenyosha mikono ndugu zangu watoto ni twiga warefu kama Wa kwetu usukuman sema hawa ni weupe sana

Yaan wanavyoniita ndo nachoka kabisa naitwa baba Yangu aisee Mimi nitahamia tu huku jaman

Siku nikikutana na mtu akawa anawaongelea vibaya watoto Wa huku Kilimanjaro nitapigana Naye. Kwanza hapa alipoa mjomba hii familia ni weupe kama waarabu Wa kayenze, kuna mtoto mmoja nimemzimikia hapa kashanipa na namba lazima niache alama huku

Nimetembea mikoa mingi lakin huu mkoa nimenyosha mikono yaan nimewavulia kofia kabisa

Wachaga mumebalikiwa kuwa na wasichana wazur weupe hongeren sana ngosha lazima nitakuja kuoa kwenu

LONDON BOY
Ni kweli shida yao miguu, ya mbu
 
Mleta mada nadhani hujatembea maeneo ya sinza dar es Salaam

Sent using Sukhoi Su-57
 
Back
Top Bottom