General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Ndo mana ya MangiAsante sana mkuu kumbe huku ndo home?
basi hayaNigeuke ili unikimbie na hii sura ya baba angu
Oa tu mkishapata mali jiandae kutangulia kaburini
Kwani unatesekaUnatudhalilisha sie tusiotoka Moshi etiee??!! Mwenyewe Moshi ndio mji wako wa kwanza tu kutembelea tangu umetoka kijijini kwenu Kintinku ndio unatuletea kauli za kishamba hapa. Hiyo sensa umeifanya mikoa mingapi mpaka ufikie conclusion hiyo?
HahahNa wanatembelea mikono ha ha ha
Ah wapiWanayo mkuu tena chura chura kweli
imeshindikana insta babe... nahisi pm yako ina kufuliHahhaha sawa bwana insta babe
Wa huko nasikia ni maharage ya mbeya
Picha iko wapi?Aman iwe kwenu wapendwa
Kwanza kwa kuondoa utata Mimi siyo Wa Kilimanjaro Mimi ni msukuma Wa mwanza lakin Niko huku Kilimanjaro tumekuja huku na mjomba kusalimia wakwe zake maana kaoa huku
Twende kwenye maada
Alooo ngosha wenzangu huku kuna watoto weupe kishenz wana saut nzur hizoo aloo aloo usipime Mimi nimenyosha mikono ndugu zangu watoto ni twiga warefu kama Wa kwetu usukuman sema hawa ni weupe sana
Yaan wanavyoniita ndo nachoka kabisa naitwa baba Yangu aisee Mimi nitahamia tu huku jaman
Siku nikikutana na mtu akawa anawaongelea vibaya watoto Wa huku Kilimanjaro nitapigana Naye. Kwanza hapa alipoa mjomba hii familia ni weupe kama waarabu Wa kayenze, kuna mtoto mmoja nimemzimikia hapa kashanipa na namba lazima niache alama huku
Nimetembea mikoa mingi lakin huu mkoa nimenyosha mikono yaan nimewavulia kofia kabisa
Wachaga mumebalikiwa kuwa na wasichana wazur weupe hongeren sana ngosha lazima nitakuja kuoa kwenu
LONDON BOY
Yuko na mali za kutosha?Hahaaaaa Mbna mzee wangu yupo na he is 60 now
Sawa na mtori bila nyamabila picha hii thread ni sawa na fununu kama fununu nyingine tu
Sijui wanafikiria nini hawa wenzetu?Oa tu mkishapata mali jiandae kutangulia kaburini
siyo kila chaduara alafu cheusi ni tairi la gari kijana...Kumbe mnaitana babe Hata pm hamjafika! Nyie wazembe kweli@shunie