Nimenyosha mikono tz nzima watoto wakali wako moshi Kilimanjaro

Aman iwe kwenu wapendwa

Kwanza kwa kuondoa utata Mimi siyo Wa Kilimanjaro Mimi ni msukuma Wa mwanza lakin Niko huku Kilimanjaro tumekuja huku na mjomba kusalimia wakwe zake maana kaoa huku

Twende kwenye maada

Alooo ngosha wenzangu huku kuna watoto weupe kishenz wana saut nzur hizoo aloo aloo usipime Mimi nimenyosha mikono ndugu zangu watoto ni twiga warefu kama Wa kwetu usukuman sema hawa ni weupe sana

Yaan wanavyoniita ndo nachoka kabisa naitwa baba Yangu aisee Mimi nitahamia tu huku jaman

Siku nikikutana na mtu akawa anawaongelea vibaya watoto Wa huku Kilimanjaro nitapigana Naye. Kwanza hapa alipoa mjomba hii familia ni weupe kama waarabu Wa kayenze, kuna mtoto mmoja nimemzimikia hapa kashanipa na namba lazima niache alama huku

Nimetembea mikoa mingi lakin huu mkoa nimenyosha mikono yaan nimewavulia kofia kabisa

Wachaga mumebalikiwa kuwa na wasichana wazur weupe hongeren sana ngosha lazima nitakuja kuoa kwenu

LONDON BOY
Njoo na Arusha nafikiri utatengua Kauri
 
Attachment ilikuwa muhimu sana ili ripoti yako ikae sawa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wasukuma wengi wanaowa Wachaga kwa sababu ya ushamba wao wa watoto weupe. Lakini pia Wachaga ni wajanja wanawapiga sana Wasukuma kwa ushamba wao.
 
Insta babe bwana nakupendea hapo tu unavyonifurahisha [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] beira mm sina cha kukujibu umeshajibiwa
Kumbe mnaitana babe Hata pm hamjafika! Nyie wazembe kweli@shunie
siyo kila chaduara alafu cheusi ni tairi la gari kijana...

mengine yasome na uyaache kama yalivyo siyo lazma uyaelewe
Amna kitu kama hicho mzee baba ngoja Shem wangu shunie aje anieleze vizur
 
Aman iwe kwenu wapendwa

Kwanza kwa kuondoa utata Mimi siyo Wa Kilimanjaro Mimi ni msukuma Wa mwanza lakin Niko huku Kilimanjaro tumekuja huku na mjomba kusalimia wakwe zake maana kaoa huku

Twende kwenye maada

Alooo ngosha wenzangu huku kuna watoto weupe kishenz wana saut nzur hizoo aloo aloo usipime Mimi nimenyosha mikono ndugu zangu watoto ni twiga warefu kama Wa kwetu usukuman sema hawa ni weupe sana

Yaan wanavyoniita ndo nachoka kabisa naitwa baba Yangu aisee Mimi nitahamia tu huku jaman

Siku nikikutana na mtu akawa anawaongelea vibaya watoto Wa huku Kilimanjaro nitapigana Naye. Kwanza hapa alipoa mjomba hii familia ni weupe kama waarabu Wa kayenze, kuna mtoto mmoja nimemzimikia hapa kashanipa na namba lazima niache alama huku

Nimetembea mikoa mingi lakin huu mkoa nimenyosha mikono yaan nimewavulia kofia kabisa

Wachaga mumebalikiwa kuwa na wasichana wazur weupe hongeren sana ngosha lazima nitakuja kuoa kwenu

LONDON BOY
bila picha mzee
 
mi nakajua full mapicha hotelini jana watoto waki breeze
 
Nimetembea sana mikoa kama bukoba, panda, katavi na mbeya haina watoto wakali ni Wa kutafuta kwa toch
Sasa kama unatafuta ngozi nyeupe unakwenda bukoba unaipatia wapi?!

Ila usiseme hakuna watoto wazuri mikoa kama mbeya wewe.......haujaenda kyela ukakutana na akina tuse, watoto wa mbeya wanasifa za mabinti wa kisouth wana maumbile mazuri sana kutoka mguuni hadi kichwani na rangi zao ni za kiafrika zinamvuto, maji ya kunde na black miguu imejaa vema, wapo vzur halafu unakuta mtoto anauza ndizi sokoni au shambani huko anavuna viazi ila ndio mkali balaa....

Akipiga pedo lazima uombe pooh.
 
Unatudhalilisha sie tusiotoka Moshi etiee??!! Mwenyewe Moshi ndio mji wako wa kwanza tu kutembelea tangu umetoka kijijini kwenu Kintinku ndio unatuletea kauli za kishamba hapa. Hiyo sensa umeifanya mikoa mingapi mpaka ufikie conclusion hiyo?
Ahaahahaaaaa yy ndo kaona ivyo kwa utafit wake na ww fany utafit
 
Back
Top Bottom