Ishi Naye Huyo Ni Chaguo Lako Kufa/Kuzikana, Uzima/UgonjwaWakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni
*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji
*Ukiomba game anasema amechoka
Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
Hahaha!Wanawaita dady!!
Utasikia nilipitia kwa dady baada ya kutoka kwenye maombiπ€π€π€
Nimecheka leo kila comments yako aiseeKanisani kulikua na mfungo wa kukaa siku tatu bila kula kitu chochote, siku zote 3 mnashinda na kulala kanisani.
Nilikua darasa la 5 mama akanichukua tukaenda, mkiingia wote mlango unafungwa unafunguliwa jioni kwenda nje kujisaidia tu halafu mnarudi ndani.
Imefika jioni njaa inaniuma sana nikaanza kulia! Mama ananiambia nijikaze tumalize mfungo wote.
Walivyoniona nazidi kulia wakaniita mbele wakaanza kuniombea eti nina mapepo.
Njaa inauma nazidi kulia na wao wanazidi kuniombea mapepo yatoke, walivyoona mapepo hayatoki nikafunguliwa mlango mama akanipa hela niende kwa ndugu yangu yeye anabaki kwenye maombi.
Nilivyofika huko nilikula na kilio kiliisha.
Eti pandagichizaπHahaha!
Wanaoita Daddy ni wale wenye shule/wa kimjini mjiniβ¦.Huku kwetu Pandagichiza wanawaita βbaba yangu wa kirohoβ.
Imagine ni mlokole halafu single mama.. π€π€Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni
*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji
*Ukiomba game anasema amechoka
Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
Imagine ni mlokole halafu single mama.. π€π€
Cc Robert Heriel Mtibeli
Umewahi kupasikia?Eti pandagichizaπ
Umesema kweli kabisa imefikia hatua ma Apostle wanatukuzwa kuliko Mungu!Shida wanazid vitu viwe vya kiasi.
Na asimtegemee Mchungaj kuliko Mungu
Hata wanaume wa kilokole bure kabisa!
Mzee Ertugrul amini kwamba mke mlokole hafai.Wanaume mnashida gani, mara huyu mjita malaya,huyu single maza hafai,huyu nae mlokole si wakuoa!!
Tunakwama wapi?
π€£π€£ Jomba mimi nitaoa msabato ila kwaya marufuku.πππ
Hakutumwa.
Mwenye matatizo ni muoaji kwa kushindwa kuchagua. Sio muolewaji
Na hii ndiyo inanifanya niwaze kila mara nikistaafu niokoke niwe na kakanisa kangu huko kijiji hasa kwa wanayakyusa niishi mbingu nikiwa duniani mimiBaba yangu mdogo ni mchungaji,aisee ana enjoy maisha,
Halimi,msimu wa mavuno analetewa mahindi nk, gari kanunuliwa,nyumba kajengewa, Wana siku ya kwenda kufanya usafi Kwa ba mdogo.
Huko kijijini utakula kuku na mayai mpk basi. Unga na mchele siyo vitu vya kuuliza.Na hii ndiyo inanifanya niwaze kila mara nikistaafu niokoke niwe na kakanisa kangu huko kijiji hasa kwa wanayakyusa niishi mbingu nikiwa duniani mimi
Napenda na vile majamaa mazee kabisa ya umri yawe yakiniona yananiita baba ,baba basi mimi na moyo wangu raha tupuHuko kijijini utakula kuku na mayai mpk basi. Unga na mchele siyo vitu vya kuuliza.
Ni sawa ila mpunguze sheria kali mnaboa!Tuache! Tumemchagua Yesu
Hapana! Nimelipenda jina!Umewahi kupasikia?