Mshangazi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,143
- 4,462
Wakati nipo kwa matembezi yangu jioni hii kwenda kutafuta chimbo la kumaliza week. Nimeokota calculator kubwa halina vibonyezeo kwa mbele lakini ukibonyeza vitufe vya pembeni linawaka na kuandika "SAMSUNG powered by Android go edition" kisha linaomba pin.
Kwa mwenye nalo tafadhali pita maeneo yaleyale ulikolidondoshea maana naenda kuliweka palepale nilipolikuta.
Kwa mwenye nalo tafadhali pita maeneo yaleyale ulikolidondoshea maana naenda kuliweka palepale nilipolikuta.