muuzie january.
Ipige picha katika mionekano yote hiyo uweke hapa
ndiyo ......halafu niendeshe gari la kichawi
Peleka kanisani ikaombewe
january january yupi?
ndiyo ......
kwani wewe unamjua january yupi??? huyo huyo unayemjua
mkuu unataka uone picha yake?
mrudishie uliyemuibia. Halafu uache ukibaka.halafu niendeshe gari la kichawi
ikigeuka tu we nileteemkuu gari la kichawi labda uendeshe wewe
mkuu uko pande zipi nikuletee