Nimeokota cheni ya kijini na kichawi

Nimeokota cheni ya kijini na kichawi

nenda kanisa la eagt city centre liko kwa mtoni mtongani karibu na reli ya tazara muone pastor katunzi tatizo litakwisha anapatikana jtano haf jmos saa kumi na jpili asbh saa tatu.
 
Hizi story zengine za kutunga kabisa sikiliza sasa ikifika saa saba mchana jumatatu au jumatano kaitupe baharini na ukiitupa usigeuke nyuka ondoka na hakikisha hakuoni mtu
 
Ngoja nisubiri litakapogeuka dushelele,sijui utakuja na uzi upi tena.
 
kwani wakati unaokota tulikuwa wote?hilo lako
 
Back
Top Bottom