Nimeokota madini chuma leo

Expert Judgement

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2019
Posts
442
Reaction score
730
Wakuu naomba mnisaidie mambo yahusuyo madini maana kuna sehemu nimeenda shambani Leo nimekuta kuna mwamba wa chuma baada ya kuutindua nimepata kipande cha jiwe LA chuma ambalo linashika sumaku...
Kwa utaalamu mdogo nimegundua ni madini chuma kwa muonekano wake

Ila Mimi sio mtaalamu naomba kujua kuna aina ngapi za madini chuma maana huwa nasikia chuma cha pua n.k

Je niwapi siko lake lilipo maana sina uwezo wa kuyachenjua

Nahitaji vibali gani nikipata solo LA uhakika LA kuyauza hayo mawe kwa wingi?

Naweza kuuza bei gani kwa kg moja hapa TZ?

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU


 
Ungelikuwa umegundua mwamba wenye chuma labda ungelikuwa unanusa harufu ya pesa sasa...

Kama ni jiwe tu, huna tofauti na mtu aliyeokota msumari...
Nimwamba haswaa shamba lenyewe linalimwa kwa sululu... Kwahiyo mkuu nikienda kufanyia tafiti hilo jiwe wataaema niende na mwamba wote?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo ni moja ya aina kuu mbili za madini chuma yaani Iron Ore.
Inaitwa Magnetite
Bei yake ni Tsh 50,000/= kwa tani moja. Hii ni bei ya mgodini.
Iron Ore ni Madini ambayo yapo mengi sana duniani na hutumika zaidi katika utengenezaji wa Steel.
Ili kujustify uchimbaji wa madini haya, itakubidi mwamba uwe mkubwa (Maelfu/Malaki/Mamillioni ya matani).
Pia percentage ya iron kwenye haya mawe iwe atleast 62%, na ili kujua hilo, peleka samples(zaidi ya moja) ya mawe hayo kwenye maabara za miamba (Dodoma ipo moja inaitwa GST Lab).
Kila la kheri.
 
Asante kwa taarifa iliyokamilika mkuu inashabihiana na nilichokipata Leo offline nitafanyia kazi taarifa yako mkuu. Soon nitaenda Dodoma maabara nikapate kujua samplo zipo zenye uzito km kg 30 HV . shukran
 
Asante kwa taarifa iliyokamilika mkuu inashabihiana na nilichokipata Leo offline nitafanyia kazi taarifa yako mkuu. Soon nitaenda Dodoma maabara nikapate kujua samplo zipo zenye uzito km kg 30 HV . shukran

Hakikisha sample unachukua maeneo tofauti tofauti.. Yaani usichukue samples zote kutoka eneo moja.
Pili, kabla haujaanza kuchimba hakikisha unaenda kukatia leseni ya Primary Mining License (PML) kabla wajanja hawajakuwahi.
 
Hakikisha sample unachukua maeneo tofauti tofauti.. Yaani usichukue samples zote kutoka eneo moja.
Pili, kabla haujaanza kuchimba hakikisha unaenda kukatia leseni ya Primary Mining License (PML) kabla wajanja hawajakuwahi.
Nikweli hapo kwenye leseni maana serikali nayo haikawii kukuundia zegwe yn
 
Naitaji soko la magnetite niko nayo tani 150
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…