Expert Judgement
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 442
- 730
Wakuu naomba mnisaidie mambo yahusuyo madini maana kuna sehemu nimeenda shambani Leo nimekuta kuna mwamba wa chuma baada ya kuutindua nimepata kipande cha jiwe LA chuma ambalo linashika sumaku...
Kwa utaalamu mdogo nimegundua ni madini chuma kwa muonekano wake
Ila Mimi sio mtaalamu naomba kujua kuna aina ngapi za madini chuma maana huwa nasikia chuma cha pua n.k
Je niwapi siko lake lilipo maana sina uwezo wa kuyachenjua
Nahitaji vibali gani nikipata solo LA uhakika LA kuyauza hayo mawe kwa wingi?
Naweza kuuza bei gani kwa kg moja hapa TZ?
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU